Pit brown
Senior Member
- Jun 30, 2015
- 132
- 64
- Thread starter
- #41
hahaha.....kuna utofaut mkubwa kufa kwa maradhi na ghafla....kufa kwa maradhi maadhi seli hufa na baadhi ya ogani kushindwa kufanya kazi ipasavyo....na mpka unakufa inakuwa kuna badhi ya ogani kuwa tayari zimekufa au kutokua active!Umenikumbusha. Hata baada ya kutenganisha kichwa na kiwiliwili cha nyoka, kile kichwa hubaki hai kwa muda mrefu na kikikung'ata sumu yake ni ile ile.
lakini kufa kwa kiumbe chochote eidha kwa kumtenganisha kichwa ghafla viungo vyote uwa active na ndo maana utakuta mtu anakimbia au kichwa hana lkn kidole kinacheza au ata kichwa kupepesa macho