Maize Wars: Kenyans out pricing Tanzanians causing Maize shortage in Tanzania.

Mahindi kenya sio ya kukula ugali Tu, hivyo ulivyovitaja ina maana hamjui faida yake mahindi Kenya ni Mali gafi Kwa viwanda vingi Tu tofauti na Kula ugali by products za mahindi zinatumika Kwa pharmaceutical industry na textile industry na pia Kutengeneza mafuta ya kukula sasa usione tu mahindi ukaona ni ugali Tu.
 
Hio duty free imewekwa na east Africa community wala sio kenya chakula chote hata ngano ni duty-free Bora iwe imetoka moja wapo ya east Africa hadi sukari soma kuhusu east Africa protocol.
Tanzania hatuna huo upuuzi huo with bumper harvests year in year out! Kuanzia kipindi cha uchaguzi mpaka sasa GoK wana-subsidise price of unga!

 
Hio duty free imewekwa na east Africa community wala sio kenya chakula chote hata ngano ni duty-free Bora iwe imetoka moja wapo ya east Africa hadi sukari soma kuhusu east Africa protocol.
Tunaongelea hali ya chakula kati ya Tanzania na Kenya, Tanzania haiingizi mahindi kutoka nje hata mchele ulishapigwa marufuku

Kwa hivyo kutokana na Kenya kuwa na subsidy na duty free kwenye mazao ya vyakula lazima iyo iwe tofauti as long as Tanzania haifanyi hivyo.
 
Nakubaliana na wewe kwenye matumizi ya mahindi kama raw materials katika bidhaa nyingi lakini Kenya hamna options nyingi za vyakula kama Tanzania kwa hiyo hata kama mnatumia mahindi katika shughuli nyingine tofauti lakini bado yanabaki kuwa ndio chakula chenu kikuu kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…