Maize Wars: Kenyans out pricing Tanzanians causing Maize shortage in Tanzania.

Maize Wars: Kenyans out pricing Tanzanians causing Maize shortage in Tanzania.

They should be thanking kenya. Our companies are the largest source of FDI in the region and our money enables them to take their children to school, even though their education is wanting.

Correction: Indian Companies based in Kenya. Mkenya kama wewe ni Mweusi kama Lami, Sura Kavu na Hela huna nani Akushukuru?
 
Definately! Kenya can decide to buy all the maize from ti-zii and make all the ti-zedian farmers rïch and laugh all the way to the bank but my worry and concern ni kwa wananchi wa ti-zii, I mean, we all know watizedi ni wanyonge na mASkiNi wa kutupiliwa mbali.... Jesus Christ!! utawafanya waendelee kushindia kula mihogo ya kuchemsha na strong tea jinsi tunavyowaona wengi wao humu jukwaani

Hapo ukute umeshashiba ugali toka Tz na Sukuma Wiki, (chakula cha Mifugo),
Tz kun Surplus kubwa ya Mchele, Ngano, Ndizi and all Varieties of foods, Hatutegemei Mahindi pekee.
Huko nyie Unga ukipanda bei huwa ni National Disaster, Maandamano
 
The laziest are the ones who received food donation from a country which is a desert almost 99% of its land, UAE.
Hao jamaa wakituita lazy huwa nacheka sana...wanauziwa mahindi na maharage wanabugia tu bila kujua yamelimwa wapi na nani?

Kuna upande wamepakana na watata wa kugombea ardhi..wanapenda kuhamisha miaka..wale jamaa wanalima upande wao..then wanavuka hatua pande ile na wanalima tena, tena wanalima haswaaa.
 
Huwa nawaambia hawa kwamba hela yetu ndio kila kitu kwao, sasa ona wanasababisha njaa kwao wakifuata hela yetu.
Mkuu, katika mfumo wa biashara hauwezi kujikweza na kusema...'hela yetu ndiyo kilakitu kwao'.... .
Uelewe kuwa, kila mshiriki kwenye mzunguko wa biashara husika, kitu chake ama fedha zake, vyote vina thamani sawa kwenye soko, kufanya wategemeane.

Hivyo hakuna aliye bora, mwenye pesa na mwenye bidhaa wote wapo sawa.
 
Hii elimu ungewapa ndugu zako ambao hutamba kwamba wanatupea msaada wa chakula.
 
Ugali ni 'staple food' nchini Kenya, kutoka mashinani hadi mijini. Hilo hata mwanafunzi wa darasa la kwanza analijua. Wali, chakula cha kulambwa kama sukari, ni kitu cha mwanaume wa kweli kujivunia? [emoji1] Wakenya wanatumia mahindi mengi, yote ambayo yanazalishwa Kenya na ya ziada wananunua nje ya nchi.
Sema ndo mumezoea ugali tu vyakula vyote ukivizoea unakuwa na nguvu tu sio kila mtu lazima ale ugali TZ tunatumia sana wali ugali kama mfuko umegoma kidogo ,Wachina mbona wanatumia sana tambi mbona wanayo nguvu?
 
Ikipanda ndo vizuri wazalishaji wataongezeka kwasababu wataona kuna faida
Umeambiwa bei za mahindi zinapanda, sio watz wanakosa chakula. We unafikiri sisi tunakula mahindi tu kama nyie? Kwanza kwq taarifa yako kuna watu wengi hawali ugali especially in upcountry regions. Swaini
 
Tanzania uwezi ukakosa mahindi mwaka mzima kwanza haijawahi kutokea hiyo kupanda ndo vizur ili watu wengi waone kuna faida kwenye zao hilo ili wazalishe kwa wingi tunataka liwe zao la chakula lakin pia kwa biashara ndio maana bilionea Summry kauza mabac kaingia kwenye kilimo cha mahindi
Utakua huijui Tanzania yako wewe, asilimia 80% ya Watanzania wanategemea matumizi ya mahindi kama chakula chao cha msingi.
Wengine kama Pwani wanatumia ubwabwa, na kule kwa Wahaya wanakula ndizi sana maana wamepakana na Uganda wanaendana nao kwa mila na desturi.
 
We kweli mshamba tatizo lenu munategemea chakula kimoja , huo ungali maarufu sana Tanzania nzima
Uuuuiiii....yaani hapo ndio msosi wa asubuhi au vipi maana dah. Afu mwanamke usile madubwasha haya sana, wewe unafaa vyepe
 
We kweli mshamba tatizo lenu munategemea chakula kimoja , huo ungali maarufu sana Tanzania nzima

Tembelea nchi yako uifahamu vizuri, mimi nimekatiza mikoa na wilaya nyingi zaidi yenu, kunao watu hupiga wiki inaisha hawajaonja wala kunusia ugali, japo ndio chakula kinachotegemewa na asilimia 80% ya Watanzania.
Ndio taswira hata huku, inategemea na asili ya watu.
 
Unga wa gani Bei rahisi kuliko unga wa Mahindi bro, saa zingine Ni mzuri kufanya kauchunguzi kidogo tu usije ukadhihirisha tunakokijua kuwa wewe Ni kilaza...silence is golden.
Sasa mbona chapati ni chakula cha anasa kwenu 😂😂😂 hadi mnapiga kisa chapati.
 
Huwa nawaambia hawa kwamba hela yetu ndio kila kitu kwao, sasa ona wanasababisha njaa kwao wakifuata hela yetu.
Kunya Boy na Chakula chetu ndio kila kitu kwenyuuu, Tazama hata kelele unaweza kuja kupiga hapa.
 
Utakua huijui Tanzania yako wewe, asilimia 80% ya Watanzania wanategemea matumizi ya mahindi kama chakula chao cha msingi.
Wengine kama Pwani wanatumia ubwabwa, na kule kwa Wahaya wanakula ndizi sana maana wamepakana na Uganda wanaendana nao kwa mila na desturi.
Na kaskazini na Nyanda za juu Kusini ambao chakula Chao cha asili na wenyewe ni ndizi, wamepakana na Uganda?
 
Hapo ukute umeshashiba ugali toka Tz na Sukuma Wiki, (chakula cha Mifugo),
Tz kun Surplus kubwa ya Mchele, Ngano, Ndizi and all Varieties of foods, Hatutegemei Mahindi pekee.
Huko nyie Unga ukipanda bei huwa ni National Disaster, Maandamano
Mkuu pia kuna mahali nilisoma kwamba serikali ya Kenya inawalipa wenye viwanda vya kusaga unga ruzuku ili wauze unga kwa bei ambayo wakenya wanayoweza kumudu

Maana yake kama unga ni 500 kwa kilo tayari serikali ililipia 300 ili mkenya amudu bei, lasivyo ingekua 800 kwa kilo, jambo ambalo lingesababisha baa la njaa Kenya
 
Serikali hailipi wenye viwanda,Hilo lilifanyika 2017 wakati kulikua na uhaba wa mahindi, serikali ilinunua mahindi Mexico na kuuzia viwanda at half price kumaintain bei ya unga at 90 tena haijawahi Fanya maana kipindi hicho bei ilikua 200 per 2 kg

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Yeah, inaitwa Unga Ltd. Ndio ina regulate bei
 
Serikali hailipi wenye viwanda,Hilo lilifanyika 2017 wakati kulikua na uhaba wa mahindi, serikali ilinunua mahindi Mexico na kuuzia viwanda at half price kumaintain bei ya unga at 90 tena haijawahi Fanya maana kipindi hicho bei ilikua 200 per 2 kg

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
hii ni ya mwaka huu, ina maana ni mfumo wa kawaida Kenya

Hii inaonesha ni namna gani suala la chakula lilivyo serious Kenya, wakati wakulima wa Tanzania wanaomba mahindi yapande bei ili wauze kwa faida zaidi

Marekani wanaita stamp food (chakula chenye ruzuku ya serikali) huwa wanapewa homeless people wale masikini wa mwisho kabisa wanakula ila wanachukia sana hiyo hali, it's kind of insult huko US ukimuambia mtu anaishi kwa stamp food
 
Hao wengi wao huko wamepakana na Wakurya wa Wakenya na Wakisii
Wachagga wamepakana na Wakenya? Nijuavyo warombo ndio wapo Holili

Wanyakyusa nao wamepakana na waganda? Watu wa Kigoma wamanyema, waha nao?

Zipo jamii nyingi hazili ugali kiasili
 
Hao wengi wao huko wamepakana na Wakurya wa Wakenya na Wakisii
Wakurya wanakula kichuri na madaga, unga wa mihogo uliochanganywa na mtama pia wanakunywa uji wa mchele, hivyo ndio vyakula vyao vya asili, ugali wa Mahindi hawali
 
Back
Top Bottom