Ninyi wakenya lazima mpo na matatizo ya akili sio bure. Hivi hukumbuki wakati mbaturudishia dhahabu na mkachomekea kuomba kununua mahindi, na mlisema mnaomba kuchanganya kwasababu huko Kenya mnahitaji mahindi kupikia Githeri, kwasababu Magufuli alikua amejawa furaha akakubali muuziwe mahindi?.
Hata Zimbabwe na Malawi pia wamechukua mahindi kutokana na kiwango kikubwa cha mahindi kinachohitajika kwa haraka, sio rahisi Kusaga na kupeleka unga ndani ya muda mfupi, Mahindi ni Mengi sana kwa wakulima, lazima yachukuliwe haraka.