MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Wachagga wamepakana na Wakenya? Nijuavyo warombo ndio wapo Holili
Wanyakyusa nao wamepakana na waganda? Watu wa Kigoma wamanyema, waha nao?
Zipo jamii nyingi hazili ugali kiasili
Kwanza kabisa hamna sehemu nimesema hakuna Watanzania wasiokula ugali kama chakula chao cha asili, soma kauli zangu upya, ila takwimu zenu rasmi zinasema asilimia 80% mnakula ugali kama chakula cha msingi.
Ugali ndio chakula kikuu/staple kwa Watanzania 80%, ikumbukwe kunao ambao japo ugali ndio chakula chao kikuu ila asili yao ni tofauti kama vile ndizi.
Mfano hai kwa Kenya hapa, mimi Mkikuyu, ukija kwetu Ukikuyuni, ugali sio chakula chetu cha asili, ila wengi tunauchangamkia kama chakula kikuu.