Maize Wars: Kenyans out pricing Tanzanians causing Maize shortage in Tanzania.

Maize Wars: Kenyans out pricing Tanzanians causing Maize shortage in Tanzania.

Nchi ya Kenya ambayo ni jangwa kwa asilimia 89%, na ambayo haina madini yeyote ya kutajika, imekuwa ikiwasomesha namba kwa miaka yote hiyo. Sasa mchapakazi ni nani hapo?
exactly these guys do not like to be creative or to think. That is why Kenya produces more goods and services using their raw materials and then we export to them at a higher price.
 
HAHAHAHAHAHA, that was a good joke. When eac failed, where was sadc to lift up your economy? You people rely on kenya for your farm produce exports ie we buy low value farm produce from you while we farm high value products for export to america, europe and the middle east.
Pumba tupu,
Sasa mbona huwa tukisitisha kuuza mnakimbia mkuku mkuu kuomba muuziwe?
Ndio maana huwa naunga mkono 100% mnavyodhalilishwa na kutukanwa na ngozi nyeupe,
Uchumi wetu ni mzuri ndio maana hatutembezi bakuli ovyo ovyo kuomba mikopo.
 
Tz Farmers should sell all their maize to kenya and make $$! Tz has suplus rice, Beans, fruits, meat, Wheat etc..
Hii mambo ya kula mahindi kama kuku ni mazoea ya mijitu ya kibera
Ugali ni 'staple food' nchini Kenya, kutoka mashinani hadi mijini. Hilo hata mwanafunzi wa darasa la kwanza analijua. Wali, chakula cha kulambwa kama sukari, ni kitu cha mwanaume wa kweli kujivunia? [emoji1] Wakenya wanatumia mahindi mengi, yote ambayo yanazalishwa Kenya na ya ziada wananunua nje ya nchi.
 
Yes we can buy raw products but not flour.
It realy does not matter, Maize is the cheapest staple food for the poorest people, Tz has many options not to mention the swahili culture influence makes them pro -Chapati, / wheat
Definately! Kenya can decide to buy all the maize from ti-zii and make all the ti-zedian farmers rïch and laugh all the way to the bank but my worry and concern ni kwa wananchi wa ti-zii, I mean, we all know watizedi ni wanyonge na mASkiNi wa kutupiliwa mbali.... Jesus Christ!! utawafanya waendelee kushindia kula mihogo ya kuchemsha na strong tea jinsi tunavyowaona wengi wao humu jukwaani
You definately dont need maize to have a full stomach in Tz. There are so many options, viazi karai, chapati, bananas, fruits of every kind etc.. Kenyan stomachs have few options, most of them are full of Ugali or Githeri -Poor person's stomach filling material
 
It realy does not matter, Maize is the cheapest staple food for the poorest people, Tz has many options not to mention the swahili culture influence makes them pro -Chapati, / wheat

You definately dont need maize to have a full stomach in Tz. There are so many options, viazi karai, chapati, bananas, fruits of every kind etc.. Kenyan stomachs have few options, most of them are full of Ugali or Githeri -Poor person's stomach filling material

Wanaweza kuafford ugali tu,
Ndio maana chapati, wali ni vyakula vya anasa kwao 😂😂😂
 
Ugali ni 'staple food' nchini Kenya, kutoka mashinani hadi mijini. Hilo hata mwanafunzi wa darasa la kwanza analijua. Wali, chakula cha kulambwa kama sukari, ni kitu cha mwanaume wa kweli kujivunia? [emoji1] Wakenya wanatumia mahindi mengi, yote ambayo yanazalishwa Kenya na ya ziada wananunua nje ya nchi.
Yes, thats why its not an issue for Tanzania or Mexico to sell all their maize to kenya..They have other options and maize is the bottom level food used mostly for animal feed
 
Nani aliyetuma kundi la mawaziri kwenda kumuomba mwenzake?. Kuna soko kubwa sana la SADC na hatuwezi kulitosheleza, mlitumia mbinu ya kuturudishia dhahabu, hapo hapo mkachomekea kuja kuomba tuwauzie chakula, sasa kurudisha dhahabu na kuleta watu wa wizara ya KILIMO vinauhusiano gani kama sio kulia njaa?
Bila hella zetu, chakula chenu kitaozea mashambani. Kwa hella zetu tunafanya Bei ya bidhaa zenu za ndani kuwa ghali. We are not EAC biggest economy for nothing...tunarun Ukanda huu.
 
Wanaweza kuafford ugali tu,
Ndio maana chapati, wali ni vyakula vya anasa kwao 😂😂😂
Unga wa gani Bei rahisi kuliko unga wa Mahindi bro, saa zingine Ni mzuri kufanya kauchunguzi kidogo tu usije ukadhihirisha tunakokijua kuwa wewe Ni kilaza...silence is golden.
 
Unga wa gani Bei rahisi kuliko unga wa Mahindi bro, saa zingine Ni mzuri kufanya kauchunguzi kidogo tu usije ukadhihirisha tunakokijua kuwa wewe Ni kilaza...silence is golden.
Hata Tanzania ngano ni rahisi zaidi ya dona na ndio maana bidhaa za ngano ni rahisi zaidi Tanzania kwa kifupi hakuna bidhaa ya chakula ghali

bei-a-4_01_19.png
bei-b-4_01_19.png
bei-c-4_01_19.png
 
Bad for Tanzanian consumers who will now rely on their staple food of black tea and cassava.
Look at you dumber, hiyo maize serikali yenu iliomba tuwauzie ndio staple food. Tanzanians got lot of options when it comes to food.
 
Huwa nawaambia hawa kwamba hela yetu ndio kila kitu kwao, sasa ona wanasababisha njaa kwao wakifuata hela yetu.
Umeambiwa bei za mahindi zinapanda, sio watz wanakosa chakula. We unafikiri sisi tunakula mahindi tu kama nyie? Kwanza kwq taarifa yako kuna watu wengi hawali ugali especially in upcountry regions. Swaini
 
Huwa nawaambia hawa kwamba hela yetu ndio kila kitu kwao, sasa ona wanasababisha njaa kwao wakifuata hela yetu.
Tuna mihogo, ndizi, majimbi mtama na vingine vingi. Mahindi si chakula pekee.

1573009563800.jpeg

By the way karibu chakula jirani.
 
Umeambiwa bei za mahindi zinapanda, sio watz wanakosa chakula. We unafikiri sisi tunakula mahindi tu kama nyie? Kwanza kwq taarifa yako kuna watu wengi hawali ugali especially in upcountry regions. Swaini

Utakua huijui Tanzania yako wewe, asilimia 80% ya Watanzania wanategemea matumizi ya mahindi kama chakula chao cha msingi.
Wengine kama Pwani wanatumia ubwabwa, na kule kwa Wahaya wanakula ndizi sana maana wamepakana na Uganda wanaendana nao kwa mila na desturi.
 
They should be thanking kenya. Our companies are the largest source of FDI in the region and our money enables them to take their children to school, even though their education is wanting.
Ninyi sio ndio mnakuja kuomba tuwape mahindi, sisi ndugu zetu ni SADC, sasa hivi kuna upungufu mkubwa wa chakula katika nchi za SADC na wanatutegemea, wao wanastahili kuuziwa mahindi kwasababu walipatwa na mafuriko makubwa. Ninyi ujinga wenu wa kuwapa ardhi wazungu ndio sababu ya njaa Kali.
 
Back
Top Bottom