Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

habari mbaya kwa maBashite!

tuwekee chanzo chako iko nasi tukiamini, out of that mod wafute uzi huku kwani unadalili za kupimwa mkojo

huu Uzi ingawa umeletwa kama tetesi lakini una ukweli ndani yake hivyo hauwezi kufutwa. shame upon you!!
 
Hii habari siyo nzuri kwa Wanalumumba
Wewe unaishi nchi gani au ndiyo zile ndoto za fisi kuvizia mkono wa binadamu udondoke. Au ya sungura "hizo ni mbichi".

Tukikosa tutakosa WaTZ wote, ila hiyo ni ndoto na dua yenu. Tukipata tumepata wote waTZ, na hiyo ni changamoto yenu ifikapo 2020, maana tutarejea dua zenu mbaya.
 
Chanzo gani? ndoto zinakusumbua tu hizo usiwe unasimulia uliyoyaota mkuu
 
Frustrations za bwana fulani bila shaka ni matokeo ya mazungumzo kwenda vibaya na hizo frustrations ndio zinapelekea kuita wasaidi wake wapumbavu,kuwaambia watumishi anaeoana mshahara hautoshi akalime,n.k.

Kungekuwa na dalili ya kulipwa hizi kauli tusingezisikia kipindi hiki na badala yake angeanza kujitapa majukwaani na kupiga vijembe wapinzani kuwa wasubiri kuumbuka(angetamka hata kwa mafumbo).

Kwa kifupi angeanza kutangaza ushindi mepema kwa kutumia lugha za mafumbo wakati akisubiri muda muafaka wa kutangaza ushindi/kutoa taarifa rasimi.
 
Frustrations za bwana fulani bila shaka ni matokeo ya mazungumzo kwenda vibaya na hizo frustrations ndio zinapelekea kuita wasaidi wake wapumbavu,kuwaambia watumishi anaeon mshahara hautoshi akalime,n.k.

Kungekuwa na dalili ya kulipwa hizi kauli tusingezisikia kipindi hiki na badala yake angeanza kujitapa majukwaani na kupiga vijembe wapinzani kuwa wasubiri kuumbuka(angetamka hata kwa mafumbo).

Salary slip....hauko serious yaaan wathungu watulipe kwa sababu ya ujinga wetu?????
 
Back
Top Bottom