Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Watanzania Bana Mungu Anajua Tu Tunaliombea Njaa Taifa Letu Wenyewe Kisa Mtu Mmoja.
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana majamaa yamedinda kwelikweli na yanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma. Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana
Hivi hawa wanaume bado tu wapo nchi hii? Mimi nikajua mambo yalishakwisha mubashahara na Noah zetu tunakaribia kupata...!!

Hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejibu vizuri sanaaaaaaaaaaaa

Lumumba wanapiga tu porojo...wazungu siyo wajinga....

Japo Ccm Siipendi Ila Ni Kosa La Jinai Kuungana Na Mzungu Hata Kama Hoja Zetu Hazina Mashiko Zile Ni Maliasili Za Taifa Waliotangulia Walikosea Tuokoe Hata Hiki Kidogo Hata Kwa Mabavu Unafurahia Unyonyaji !!!!
 
Wewe unaishi nchi gani au ndiyo zile ndoto za fisi kuvizia mkono wa binadamu udondoke. Au ya sungura "hizo ni mbichi".

Tukikosa tutakosa WaTZ wote, ila hiyo ni ndoto na dua yenu. Tukipata tumepata wote waTZ, na hiyo ni changamoto yenu ifikapo 2020, maana tutarejea dua zenu mbaya.
Dua gani juu ya waliotufikisha hapa na sheria/mikataba hiyo?
Tujitafakari upya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana majamaa yamedinda kwelikweli na yanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma. Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana
We endelea kueneza habari za uongo, hii sio sawa na kuvujisha siri za kikao cha CCM au Chadema. Jiulize kwa nini wale waliokuwa wanapiga kelele kabla ya mazungumzo sasa hivi wapo kama wamemwagiwa maji!!
 
Umeamka unaota ndoto na tamaa yako na kuishia kuandika unachotamani kiwe kinatokea.. subiri wenzako mdamganyane. Jaribu tena lingine.. kumbuka makontena bado yapo paleeee..
Tatizo lako wewe unaamini wazungu ndiyo wanatuibia badala ya kuangalia mkataba uliotufikisha hapa. Badala ya kutafuta vifungu vinavyoruhusu kufanya review ya mkataba ili tunufaike Pogba anaunda kamati ili kutengeneza uongo atafute kiki! Mzungu sio mjinga lazima mtaula wa chuya
 
Japo Ccm Siipendi Ila Ni Kosa La Jinai Kuungana Na Mzungu Hata Kama Hoja Zetu Hazina Mashiko Zile Ni Maliasili Za Taifa Waliotangulia Walikosea Tuokoe Hata Hiki Kidogo Hata Kwa Mabavu Unafurahia Unyonywaji!!!!
Ata kama mimi ni mwanaccm kwakweli tunaendelea kufanya makosa yale yale...Inakuaje unajadiriana na mwizi?Yaani kampuni ni hewa iliyotuibia leo mnatuambia mnajadiriana nao ?Tusitengeneze mazingira ya kuiba jamani. Watu warusiwe kuchukua dhahabu kwenye hiyo migodi ili wanafaike maana hao ni wezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjue laana ya Baadhi ya Watanzania kama mleta mada inaanzia hapa kwenye mawazo finyu na kutoitakia kheri nchi yetu..
Mlaaniwe wote msio itakia mema nchi ya Baba,Mama na Mababu zetu..
 
Waliosaini hizo mikataba ndo hawakuwa wazalendo waliweka matumbo yao mbele....

Inakuwaje unasaini mkataba unaokubatia 4% mwenzako anapata 96% wakati Mali n yao???????

tuanzie hapo kwanza.....
Sawa hawakua wazalendo ndio maana Rais aliyepo ameamua kubadilisha sasa wanaojiita wapinzan mbona wanapnga kila kitu ad jema?
 
hahahaha! hivi unajuwa maana ya kusurrender au unabwabwaja tu. wangesurrender hata tusiingia kwenye mazungumzo tena huku nyuma wakiendelea kutoa matamko tata. think big
Endeleen kuitakia nchi mabaya wazee wa MIGA but am telling you mtakwama nyie na maboss wenu na si Tanzania
 
Back
Top Bottom