Frustrations za bwana fulani bila shaka ni matokeo ya mazungumzo kwenda vibaya na hizo frustrations ndio zinapelekea kuita wasaidi wake wapumbavu,kuwaambia watumishi anaeon mshahara hautoshi akalime,n.k.
Kungekuwa na dalili ya kulipwa hizi kauli tusingezisikia kipindi hiki na badala yake angeanza kujitapa majukwaani na kupiga vijembe wapinzani kuwa wasubiri kuumbuka(angetamka hata kwa mafumbo).
Kwa kifupi angeanza kutangaza ushindi mepema kwa kutumia lugha za mafumbo wakati akisubiri muda muafaka wa kutangaza ushindi/kutoa taarifa rasimi.
kabisa mkuuu