Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Mjue laana ya Baadhi ya Watanzania kama mleta mada inaanzia hapa kwenye mawazo finyu na kutoitakia kheri nchi yetu..
Mlaaniwe wote msio itakia mema nchi ya Baba,Mama na Mababu zetu..
Wewe ni mungu wa lumumba unatoa laana hovyo hovyo kama mikataba mibovu mliyosaini wazee wa ndioooo
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano.....
Na hayaendi kokote! Uzalendo gani huu?! Wafikiri Wamarekani na wenye Ulaya wako kama sisi na tabia zetu zisizo za kizalendo?! Nenda kule kawaibie chochote uone kitakachokutokea, kwanza wanakufunga, baada ya hapo mkuku mkuku na minyororo mpaka JK Nyerere Airport!
Nafikiri kutawaliwa kumetufanya akili zetu zipumbae sana, no wonder wakina trump wanatusema kihivi..
Trump Says Africans Are Poor Because They Think of Sex Instead of Farming? FACT CHECK: Trump Says Africans Are Poor Because They Think of Sex Instead of Farming
Sasa wewe na kupondwa nawo endelea kuwatetea kabisa..
 
Wewe unaishi nchi gani au ndiyo zile ndoto za fisi kuvizia mkono wa binadamu udondoke. Au ya sungura "hizo ni mbichi".

Tukikosa tutakosa WaTZ wote, ila hiyo ni ndoto na dua yenu. Tukipata tumepata wote waTZ, na hiyo ni changamoto yenu ifikapo 2020, maana tutarejea dua zenu mbaya.

Sema tukipata tumepata wote maana kama ni kukosa tayari tumeshakosa.
 
Sawa hawakua wazalendo ndio maana Rais aliyepo ameamua kubadilisha sasa wanaojiita wapinzan mbona wanapnga kila kitu ad jema?
Hakuna anayepinga "nia njema" Bali namna ya kuifikia hiyo nia!
Wenye maono walishasema saana n.a. matokeo yake wakaambulia kuitwa majina. Ingekuwa wewe ungechukua upande upi? (Hata Magufuli angeitwa hayo majina angevumilia)?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo Ccm Siipendi Ila Ni Kosa La Jinai Kuungana Na Mzungu Hata Kama Hoja Zetu Hazina Mashiko Zile Ni Maliasili Za Taifa Waliotangulia Walikosea Tuokoe Hata Hiki Kidogo Hata Kwa Mabavu Unafurahia Unyonyaji !!!!

Mkuu,m ninachokisemea ni kwamba hawa wawekezaji hawajakwenda against mkataba uliosainiwa,tatizo n sisi kuwahisi wametuibia wakati mkataba unaonesha hvo....

Anyway tungevunja mikataba kwanza then tuanze upya.....lkn kwa namna tunavyotaka sisi sidhani km kuna uwezekano.....
 
Japo Ccm Siipendi Ila Ni Kosa La Jinai Kuungana Na Mzungu Hata Kama Hoja Zetu Hazina Mashiko Zile Ni Maliasili Za Taifa Waliotangulia Walikosea Tuokoe Hata Hiki Kidogo Hata Kwa Mabavu Unafurahia Unyonyaji !!!!

Kwahiyo unataka tuwalazimishe watulipe? Kama tunafaa kulipwa tutalipwa, kama hakuna cha kulipa ni sawa.
Waliotufikisha hapa wanajulikana na bado ni viongozi, hawa lazima wachukuliwe hatua kali. Lakini kwa hii serikali ya kubebana sio kama watachukuliwa hatua yoyote.
 
Mkubwa alishatuambia kuwa hao wanaume walishakubali kulipa hizo Trilion 108 na sisi wananzengo tunasubiri NOAH zetu kwa hamu sasa hiyo kauli sisi hatuitambui!!
Mbona hayo matrilioni yameshapelekwa ufipa. Mbowe hajakugawia bado?
 
Mkubwa alishatuambia kuwa hao wanaume walishakubali kulipa hizo Trilion 108 na sisi wananzengo tunasubiri NOAH zetu kwa hamu sasa hiyo kauli sisi hatuitambui!!
Mkuu niwekee ka video nimsikia mkuu akituahidi noah. mi hii kauli naisoma humu tu.
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana majamaa yamedinda kwelikweli na yanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma. Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana
Another insinuating!
Kweli day dreaming ni ugonjwa mbaya sana
 
Kwakweli huu ukimya unatia shaka..

Na kitendo cha kuruhusu viroba virudi kwenye mzunguko nimepata hofu zaidi.

Tutasaga meno
 
Tanzania haijawahi kuwa na kiongozi wa hovyo kama aliyepo sasa toka kung'atuka kwa Mwl Nyerere
Unamaanisha mwl nyerere alikua wa hovyo hvyo waliofuatia wooote baada yake hatukupata mwingne wa hovyo mpka 2015 alipokuja huyu aliepo sasa????
.
Tafadhali usimlinganishe baba wa taifa na vitu vya ajabu
 
Sawa hawakua wazalendo ndio maana Rais aliyepo ameamua kubadilisha sasa wanaojiita wapinzan mbona wanapnga kila kitu ad jema?

Kuwa na kumbukumbu ni kitu cha msingi sana.....

Wapinzani hawakuwa wanapiga kelele before???

Hatimaye mliishia kuwatoa nje ya Bunge.....

Huyu Mungu wenu wa lumumba wakati mikataba inapitishwa Bungeni yy hakuwepo????????

Kwa hyo kuwa mzalendo had uwe Rais??????

Think big brother....
 
Tanzania haijawahi kuwa na kiongozi wa hovyo kama aliyepo sasa toka kung'atuka kwa Mwl Nyerere
Wewe utakuwa mwathirika wa vyeti feki

Sisi tunamuona Gold na hatushangai maana hata Mwl alipotaifisha Mashamba,Migodi,Viwanda na Majumba wako waliomuita majina ya hovyo kama haya ya kwako.

Sisi tuko pamoja na Raisi wetu na hatutishwi na mapovu yenu
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana majamaa yamedinda kwelikweli na yanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma. Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana
Hivyo hao wazungu wanakusaidia nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kufuru, tafadhali muombe Mungu msamaha haraka, tena leo j.pili.

Mkuu huyo ni mungu wao ulikua hujui?? Wanaacha kumpigia magoti Mungu et wanapiga kwa huyu ! Yaan huyu , huyu huyu daa maskn wana ccm. Mna laana nyie sio bure. Mpige magot kwa huyu ambaye ya kwake tu yamemshinda!!
 
Umeamka unaota ndoto na tamaa yako na kuishia kuandika unachotamani kiwe kinatokea.. subiri wenzako mdamganyane. Jaribu tena lingine.. kumbuka makontena bado yapo paleeee..
Behind the scene tunaofanya kazi within the mining sector productions zinaendelea vizuri sana na makinikia yanasafirishwa kama hakuna kilichotokea vile.

Iko hivi despite the fact that ok makontena yako pale bandarini kwani ni mangapi?
So kifupi production hasn't stopped kazi inaendelea its business as usual rotation zetu za kazi 24/7 ziko pale pale jamaa bado wanazidi kuchukua mzigo.

Tatizo Baba Jesca hakuweka katazo kwamba hawa jamaa wasimame kufanya production so it didn't limit them. And mind you if there will be any changes it won't be that much. KARIBU.
 
Back
Top Bottom