Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine


Duh! Mwana-adamu huyu alivyo mbeya we acha tu! Mbeya mbeya mpaka shida
 
Hata mimi nataka mzee wa makinikia ashindwe ili next time ajue mambo serious kama haya hayataki siasa nyepesinyepesi bali weledi na umakini! Eti ripoti za prof Mruma na Ossoro, my foot! We aint serious
 
Dah...unaelewa maana ya majadiliano lakini? 🙁🙁🙁
Nikishajua ndio nitabadili matokeo ?Au itakufaa wewe ktk reconcile matakataka yaliyojaa kichwani unayoyaita elimu +ujinga mnaouita udugu wa watz unaowasaidia kujipendekeza kwa watawala hadi mkienda wakumbusha majukumu mnaanza omba .
 
Nikishajua ndio nitabadili matokeo ?Au itakufaa wewe ktk reconcile matakataka yaliyojaa kichwani unayoyaita elimu +ujinga mnaouita udugu wa watz unaowasaidia kujipendekeza kwa watawala hadi mkienda wakumbusha majukumu mnaanza omba .
Dah...Kwa IQ yako ya juu kabisa.... matokeo ni nini? 😀😀😀
 
Ndio maana pamoja na kelele za serikali,pamoja na kamati,wanakwepa kwenda mahakamani ,wanataka majadiliano tena kwa nguvu,wanajua mahakamani yanatolewa maamuzi yenye nguvu,na baada ya maamuzi mchezo umekwisha,ukiwa na hatia unalipa fidia,hutaki mali zako zinakamatwa,iwe akaunti za Tanzania,bombadia,dreamliner

Kama maprofesa wa kamati mbili walikusanya ushahidi kwa nini tusikimbie kwenda mahakamani tunataka majadiliano?

Kwa Tanzania kutaka kwenda mahakamani ni sawa na kuota unajisaidia,sasa ole wako ujisaidie kumbe ni ndoto na bado uko kitandani
 
mambo yangekua yanaenda vizuri wazee wa Kiki wangekua wanaitisha press conference kila siku kutupa updates
 
Tumia akili hata kidogo basi! Tanzania iwapeleke mahakamani kwa kigezo kipi?!
 
kwa akili hizo za kuvukia barabara tutawatawala mpaka mchakae na muombe poo....lakini tunawasaidia ili IQ zenu ziongezeke kidogo japo in a hard way but mtanyooka tu.
Kwenye swala la IQ bora usiongee kabisa maana research findings zinaonesha kuwa wanaCCM wengi wana low IQ.
 
Wewe ndiye unayepumulia tigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bangi za mchana hazijawai kumuacha mtu salama
 
Chanzo unachokiamini unakitumia kutuaminisha na sisi?...unatania ama?
Kuamini jambo fulani hakumaanishi uwepo/kutokuwepo kwake katika uhalisia...Usitumie hisia(chanzo chako unachoki-amini) kulazimisha/kutabiri ukweli wa jamabo.
HIZI NI TETESI TU UMETULETEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…