Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Mara hii mmekomeshwa hakuna kinachovuja kikao kinafanyika Kikwete hall Ikulu.
Mlizoea vikao vinafanyika Mahotelini changanyikeni Uongo wenu kaeni nao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ati Mbowe anataka apewe ripoti za makinikia asome ! ....sijui anataka apigie mistari na kukoleza maandishi ?!
 
Professor wa kufundisha pale chuo huwezi kumfananisha na mtu mwenye Masters lakini ana uzoefu au yupo kazini kwa miaka mingi pamoja na Exposure.Ss kinachotokea huko walikojificha maprofesor wetu wao wanazo formula +siasa za majitaka huku wenzao wana formula +exposure +experience +logic.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo....!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wazungu wamebanwa wako kimya wanaomba msamaha na Timu yetu imewaambia lipeni kila kitu mnachodaiwa.
Eti uzoefu kwenye wizi kuna uzoefu ukikamatwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora tumelianzisha zogo. Hata tukishindwa lakini baadae ya Tanzania itakuwa bora kuliko nyuma katika suala hili. Na ndicho cha muhimu. Serikali imefanya vizuri. Well done magufuli
 
Back
Top Bottom