Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

kwa kwa Magufuli kapitikana safari hii hana hata tambo za kutamba mbele ya mzungu kajificha chini ya mvungu kwa mwamvuli wa Kabudi ziko wapi zile mbwembwe mara ooho wameniomba msamaha mara wamesema watalipa trilioni lukuki aliambiwa hana uwezo akakataa na kupiga vijembe halijazama anajionyesha ni nguvu ya soda
....Lissu alisema tunashtakiwa MIGA !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati Mbowe anataka apewe ripoti za makinikia asome ! ....sijui anataka apigie mistari na kukoleza maandishi ?!
tatizo la kuchagua raisi mshamba na mwoga asiyejiamini asiye na guts anaficha ipoti ni mama yake kwani si ni ya umma fedha walizolipwa wanatume nizake si ni za umma halafu mjinga kama wewe unayelishwa bur unaaleta ujinga hapa
 
Meshaanza magumash yenu, mbon mlisema tutashitakiwa na bado tunadunda tu
 
Umeamka unaota ndoto na tamaa yako na kuishia kuandika unachotamani kiwe kinatokea.. subiri wenzako mdamganyane. Jaribu tena lingine.. kumbuka makontena bado yapo paleeee..
Yanasubir majadiliano ya kamati,kama tukipigwa yataondoka bila hata kuambiwa.

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.

Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Mimi sikushangai hata ukisema uzushi wowote.
Bosi wako alisema tutalipa fidia kwa kuzuia mchanga.
Akasema tena tutashitakiwa.

Doh kumbe ugonjwa wake kawaambukiza hadi wafuasi wake.
Inabidi mtoa mada tumpime mate ndio sample ya mwisho ambayo hatujawacheki mabosi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafurahisha munapoona kiboko cha Magufuli ni Lissu kwa hiyo anafanya kwa sababu Lissu alisema tutashitakiwa akili zingine bwana
Huyo aliyewashika akili alithubutu kusema tusikamate makontena, na kuiita report ya Prof Mruma ni rubbish, leo mnatembeza majungu tu humu !
 
Nilitaka nikulaani lkn nikakumbuka siruhusiwi kulaani bali kubariki.
Hakuna goti litakalopigwa kwa magufuli.
Bali kwa Mungu kila goti litapigwa.

Yes! kwa Bwana Yesu, kila goti litapigwa na siyo kw amagufuli!.
 
Ukimya uliotanda juu ya maendeleo ya majadiliano ya makinikia yana mshindo Mkuu. Taarifa nilizopenyezewa na mtu ninayemwamini inasemekana jamaa wamekomaa kwelikweli na wanajua kupangua hoja. Inasemakana kuwa Hoja zetu zinazojikita kwenye tuhuma na siyo uhalisia zinasagwa na kuyeyushwa kama chuma.

Kana kwamba hiyo haitoshi hata maprofesa walioko kwenye kamati ya Makinikia kutoka Tanzania wameanza kuzilaumu kamati zilizoundwa kuchunguza Makinikia hayo kwani wanashindwa kupangua hoja za Mzungu katika majadiliano hayo ambayo yametawaliwa na rejea kutoka katika matokeo ya kamati mbili za Rais ambayo yalitiliwa shaka na wengi .

Ngoja tusubiri trilioni 300 na zaidi. Tanzania isipokuwa tajiri kwa pesa zote hizo tutakuwa tuna laana.
Heresay tupu. No facts.
 
Hv hali ikoje wadau, any updates plz maana kimya sana. Hv hawa makinikia bado wapo kweli au washasepa tayari.
 
Michadema siku hizi imebakia mijitu ya hovyo hovyo na mijitu ya ajabu ajabu tu sijui akili zimekwenda wapi? Hivi kweli unakaa kuombea nchi yako ianguke!!!!!
Wanashangaza kwa kweli.
 
Wafuasi wa Tundu Lisu naona mnamwombea Magufuli ashindwe. Kaeni mkijua Magufuli hatashindwa maana uzalendo lazma utamalaki juu ya dhuluma na haki ipo mbioni kuja. Nawashangaa watanzania wanaopenda kushindwa kwa serikali yetu kisa siasa.

Mwafrika hujichawia mwenyewe. Kama upinzani leo unatamani serikali ya ccm isifanikiwe katika majadiliano ya makinikia hiki ndo kitakuja kufanywa na ccm ikiwa upinzani na upinzani wa sasa ukiwa madarakani. Mwafrika full kujihujumu. Akina Bottha makaburu hawakukosea kusema kuwa hatuoni mbele zaidi ya leo
 
Meshaanza magumash yenu, mbon mlisema tutashitakiwa na bado tunadunda tu

..ni kwasababu mumesalimu amri.

..sasa hivi mnawaita "wanaume" yale makelele kwamba ni wezi mmeachana nayo.

..pia mnazungumza nao, au mnawabembeleza.
 
Magufuli n mtu ajabu sana! hii ni sawa na kusema mke wangu n mpambavu mbele ya umma wakati n msaidizi wako pale nyumbani....

Hiv alifikiria kabla ya kutamka???? unamteuaje mtu mpumbavu??? si umwondoe wakat mamlaka unae???

uko sawa ndugu
 
Kuwa na kumbukumbu ni kitu cha msingi sana.....

Wapinzani hawakuwa wanapiga kelele before???

Hatimaye mliishia kuwatoa nje ya Bunge.....

Huyu Mungu wenu wa lumumba wakati mikataba inapitishwa Bungeni yy hakuwepo????????

Kwa hyo kuwa mzalendo had uwe Rais??????

Think big brother....

umeuliza vyema
 
Back
Top Bottom