Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

Huyo aliyewashika akili alithubutu kusema tusikamate makontena, na kuiita report ya Prof Mruma ni rubbish, leo mnatembeza majungu tu humu !
Kwa ccm wewe una matumizi pale inapohitajika kupotezea watu muda au kutumika km mdomo wa propaganda.Ila sio mtu wa maana hadi ujue yote yanayotokea.Utajua baadae km unavyojua uozo wa Jk leo.
 
Mimi sikushangai hata ukisema uzushi wowote.
Bosi wako alisema tutalipa fidia kwa kuzuia mchanga.
Akasema tena tutashitakiwa.

Doh kumbe ugonjwa wake kawaambukiza hadi wafuasi wake.
Inabidi mtoa mada tumpime mate ndio sample ya mwisho ambayo hatujawacheki mabosi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upumbavu mkubwa zaidi wa Watz ni kutofundishwa kuongea vitu vinavyoendana na kweli ya uelewa wako pamoja na uaminifu wa kukisema unachoelewa kwa mipaka yake. Ni rahisi sana wapuuzi kujiapiza ktk vitu hawana control navyo, au kuhakikisha vitu wasivyojua hata km ni hakika. Wewe unadhani kutokuelewa au kutokuona kwako kunaweza maanisha hakuna?Fine mtapigwa tuu, km demu anavyokunywa vya watu anaweza toa huduma tuu ili aachiwe na akishatoa huduma anakuwa mtumwa forever, ktk jitihada za kuzuia mumewe asiambiwe. CCM ilipofikia sasa hivi itahitaji kuhonga sana vitu ili jamaa wawasitiri kwa kutoa vihela kidogo vya kuwapa sifa ya kisiasa.Na itakuwa hivyo ili wananchi wasiambiwe kweli.Ila hiyo kweli itakuja wiki chache tuu baada ya jamaa kuongezea mkataba mwingine wa bwereree
 
Acheni kupiga ramli.....eti wapinzani....kupinga ujinga.....
Tanzania ikishindwa,nyinyi mwapata faida gani?.........
TENA TUMEWACHOKA ILA HAMJIJUI TU

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nyie mlipoingiza nchi ktk ujinga mkionyesha sifa kwamba hamuongozwi na wapinzani mlipata faida gani?Sifa za kindezi zinawaongoza sana CCM mpo tayari kuingiza nchi ktk hasara just to prove kwamba chama comes first. Itafikia kipindi wapuuzi hawatapewa tena nafasi ya kukaa ktk madaraka na kuongea wakiwa hapo.Mtahitajika kutoka mkae pembeni ndipo muongee.Ndio maana CCM inaogelea ktk upumbavu kwa vile watu hawatolewi ktk madaraka ndipo waongee wakiwa bench.
 
Lipi uligundua ile story ya will gamba ni fix na hovyo kabisa?Mengi unayoamini TZ ni upepo na ujinga.
Unapouliza swali acha lijibiwe.
Unapojibu mwenyewe unajichanganya.
Hapo ndipo tunapokosea.
Rejea swali lako na majibu yako katika sentensi nilizotoa.
 
Hii midude (ccm)ni mibashite kuliko ubashite wenyewe !ili chonga sana na kutangaza Lisu avuliwa nguo hoja ya makinikia.nikangoja yatume picha za Lisu akiwa uchi sikuona.jibashite jingine bungeni likajitoa ufahamu na kufurika uchafu wa makinikia mdomoni kuhusu Lisu na upinzani,utadhani liliumwa uchungu wa aginesi mwenye elimu ya kugandamizia,kuhusu bungeni live.leo yanauliza wapinzani watapata faida gani serikali ikipata hasara ! Yalipokua yakifurika uchafu kwa mdomo,hayakujua matokeo yake ?bado kuna jiwaziri linataka wakatoliki wajenge viwanda !.wakatoliki walisikika kwe kampeni wakiahidi viwanda ?mkiambiwa serikali imejaa mabashite,na ma PhD yenu ya mabox mnatosa watu ruvu,na kumteka Saa 8.hiyo sio serikali,ni genge la wapigaji.serikali gani inaibia wananchi raslimali zao ? Serikali gani inaongea uongo kila leo na kuficha maovu yao kwa kutumia mabavu dhidi ya wananchi ? Hili sio genge la wapigaji na wahuni tu ? Mnaogopa ukweli mnakataza mikutano ya siasa,mnaficha nini ? Siongei sana kwa kupenda,naumia kwa jinsi tunavyo nyanyasika,kila eneo.sio tiba hakuna,chakula hakuna,chuo watoto hawaendi hatuna uwezo, Barbara mbovu,alafu nikiongea mtanilia njama ya kuniteka ! policcm uonevu ndo jadi,Mungu sikati tamaa kuwalaani hawa watu kwakua ulisema tusimuache mwanamke mchawi akaishi,hawa sio wanawake tu,hata wanaume wachawi wapo,Baba yetu, tutolee uhai wa hawa wachawi wa nchi.nia yao ni kutumaliza,tenda jambo Mungu kabla hawajatumaliza.nukutegemea na kukuamini,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nchi ya ccm ingekua ya wote mngeua upinzani,(kufikia 2020 nitakua nimeua upinzani haya kasem chadema ?)na wapinzani wenyewe mkaua ! mfano Mawazo na msiba kutawaliwa na serikali,akiwemo mwanasheria mkuu na wakuu wa policcm mwanza ? Unapo ona wengine hawana akili chunguza kwanza kichwa chako je zimo ? Ombeeni mema nyie mlao makombo mezani mwa bwana wenu.sisi tufao njaa,tutalaani mpaka kufa.lwe kwa kutekwa ,kutupwa ruvu,au risasi ya policcm.naombea mema kwa amani ipi ? Nchi mmegeza ya kumwaga damu ! Anaetetea tembo tu Arusha mmemminia risasi kwa kujali matumbo yenu.mtamuacha nani nyie waua upinzani na wapinzani wenyewe ? Mungu usiye dhihakiwa.dhihaka ya hawa watu imezidi,onyesha nguvu yako japo Mara Moja tu,ili wasujudie utukufu wako,kwakua wao wamejiinua na kutaka kila nafsi iwasujudie wao.nakuamini na kukuogopa nikijua mkono wako haukimbiwi,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi tusubiri maana walitokea watu wakasema kuwa kinachotakiwa ni ushajidi wa kisheria. Watu wakawapinga kwa kudai kuwa wanatetea upande wa makinikia... Sasa kwa hali hii wacha tukae kimyaaaaa. Najua NOAH zinakuja nikijumlisha na zile za kila kijiji.
 
Umeamka unaota ndoto na tamaa yako na kuishia kuandika unachotamani kiwe kinatokea.. subiri wenzako mdamganyane. Jaribu tena lingine.. kumbuka makontena bado yapo paleeee..
But business still goes on!
 
Ikumbukwe kwamba haya majadiliano Ni at our expense! ALIYETUROGA KAFA SIKU NYINGI.
 
Natamani tushinde hiyo ishu ila ukweli sisi ndio tulipotea jamaa watusaidie tuu kwa uzuzu Wa baadhi ya walioingia mikataba ya hovyo Mh.Magu yupo sahihi ila tuna kazi ngumu sana sana...
 
Back
Top Bottom