The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Hii taarifa iwafikie majaji mbuzi wote.
Hii taarifa iwafikie majaji mbuzi wote.
Nipo JF kwa miaka 14 baadhi ya mods walikuwa hawajazaliwa. Uzi kama huu ni wa kawaida sana.wakiufuta nitashangaaUzi utafutwa huu
Hawa watu hawana kisingizio chochote cha kudai kwamba wanachofanya ni kwa sababu ya nafasi walizonazo. Hapana, kama hawakubaliani na uovu unaofanyika hadharani, walipaswa kujiuzulu. Vinginevyo, laana na adhabu vitakuwa juu yao na familia zao, na hakuna njia ya kuepuka hilo. Labda waamue kujiuzulu kwenye nafasi hizo haraka iwezekanavyo.Huyu mwamna mwenye cheo cha mwanasheria wa waserikari mkuu ameandamwa sana