Majaji Mbuzi wa Mahakama kuna ujumbe wenu hapa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Hii taarifa iwafikie majaji mbuzi wote.
Your browser is not able to display this video.

 
Huyu mwamna mwenye cheo cha mwanasheria wa waserikari mkuu ameandamwa sana
 
Huyu mwamna mwenye cheo cha mwanasheria wa waserikari mkuu ameandamwa sana
Hawa watu hawana kisingizio chochote cha kudai kwamba wanachofanya ni kwa sababu ya nafasi walizonazo. Hapana, kama hawakubaliani na uovu unaofanyika hadharani, walipaswa kujiuzulu. Vinginevyo, laana na adhabu vitakuwa juu yao na familia zao, na hakuna njia ya kuepuka hilo. Labda waamue kujiuzulu kwenye nafasi hizo haraka iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…