Majaliwa Shujaa wa ajali ya Precision Air ya Bukoba atinga Bungeni leo Novemba 11

Dogo ni fursa kwa wengine. Kinachoumiza hatoambulia chochote zaidi ya umaarufu wa muda tu.

Usistaajabu hiyo suite na viatu imepigiwa budget ya milioni kadhaa na hao wanaomsimamia.

Kuliko kumfanya kama sanamu la maonyesho ni bora either wangemrudisha shule kumpa elimu ya maana au wampe msingi wa uhakika wa maisha utakaomsaidia mbeleni, kama nyumba na biashara.

Ni swala la muda, trend ikiisha watamtupa huko.
Washa ajira ya kudumu huko zima moto
 
Ameshapewa ajira mkuu tumuombee kheri
 
SAWA, ila kwanini wamvalishe kiatu kikubwa? Au wanaogopa anaweza akazama?!
IMG-20221111-WA0028.jpg
 
Watu washasau ajali ya ndege wanamkumbuka Majaliwa tu.
 
Mnacheza ngoma ya serikali,wanawahamisha kwenye kujadili mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom