Majaliwa Shujaa wa ajali ya Precision Air ya Bukoba atinga Bungeni leo Novemba 11

Tanzania fursa ikikukubali utang'aa mpaka ushangae
Ugumu upo kwenye ku maintain hiyo fursa hasa kwa nchi yetu iliyojaa mihemko. Maana huwa tunaenda na upepo, ukivuma upande wako kila mtu atakutaja ila akitokea mwingine mwenye upepo kumvumia unasahaulika kabisa.
Dogo atatumiwa kadri ya watakavyoona ana maslahi nao. Akimalizika matumizi yake watamtupa kama hajawahi tokea duniani.
 
Ni kijana shujaa, tunajivunia kwa hilo....but wanampeleka wapi....??? kikosi cha uokoaji??? wanampoteza shujaa wetu....!!! wangeongea nae aseme mwenyewe anataka serekali yake imfanyie nini kama ASANTE...Dogo ana ndoto zake.....inawezekana ndio zikaishia hapo.....kumbuka ni mambo ya ndani...kule kwa akina afande rushwa...ambao 60% wako pale sababu hawakuwa na namna.....NAIPENDA TANZANIA...
 
Si anaenda mafunzo ya uaskari au unataka wampe uwaziri?
 
Hiyo inaitwa freepass yaani akitaka kipochi manyoya hajiulizi tena vingine vinamtafuta vimpe zawadi bure kabisa, yaani dogo ataanza kukanyaga mbunye bure kabisa
Ebwanah!
 
Mungu in wa ajabu sana,akitaka wewe upate kazi ataweka mazingira mwingine afukuzwe upewe wewe
 
Uko sahihi mkuu.

Muda utasema!!
 
Kuna ukweli flani hivi?.Hata Mimi nadhani wangempa vifaa vya uvuvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…