Majaliwa Shujaa wa ajali ya Precision Air ya Bukoba atinga Bungeni leo Novemba 11

Dogo amekodiwa kwenda kuleta mvuto Bungeni maana hakuna anayepoteza muda wake kufuatilia hilo genge la wahuni waliowekwa hapo na yule dhalim
 
Ajira za bongo hasa hiyo zimamoto inahitaji utaalamu gan mkuu si ni training ya muda mfupi inatosha ama mpaka Uwe Na degree 2?
 
Unaweza kukuta mademu wabunge ambao hawajaolewa dogo akachota mmoja leo, maana inaitwa kufumba na kufumbua paaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Spinning ya kizamani ila imefanikiwa mnoo kuwaamisha watz kutoka kwenye mjadala wa uzembe uliopelekea vifo 19 na kuhamia kwenye mjadala wa kumshangilia huyu dogo waliyempa wadhifa wa Hero.
 
By all means huyu dogo anastahili recognition na pongezi. Kinachonipa shida ni amount of media focus as if hakuna mambo mengine ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…