Majaliwa wa Magufuli alistahili kuwa waziri Mkuu, Majaliwa wa Samia hafai hata Ukuu wa Wilaya

Majaliwa wa Magufuli alistahili kuwa waziri Mkuu, Majaliwa wa Samia hafai hata Ukuu wa Wilaya

Amani iwe nanyi wapendwa wezangu

Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemliki

Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji

Naona sura mbili za kasim majaliwa enzi za magu na enzi za Mama yetu kipenzi

LONDON BOY
Usipo jifunza kuishi kiunafiki ukiwa CCM huwezi kudumu kwenye nafasi kama huyu Majaliwa anaishi kiunafiki sanaa,
 
Amani iwe nanyi wapendwa wezangu

Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemliki

Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji

Naona sura mbili za kasim majaliwa enzi za magu na enzi za Mama yetu kipenzi

LONDON BOY
New boss new rules. Kokote kule nchi hii bossi mpya anakuja na strategy mpya, ww wa chini una option mbili tu, uendane nae, au uache kazi
 
Back
Top Bottom