Majaliwa wa Magufuli alistahili kuwa waziri Mkuu, Majaliwa wa Samia hafai hata Ukuu wa Wilaya

Amani iwe nanyi wapendwa wezangu

Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki

Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji

Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi.

LONDON BOY
Hujakosea mkuu, uko sawa! 😉
 
Amani iwe nanyi wapendwa wezangu

Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki

Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji

Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi.

LONDON BOY
Kwani siri?
Kila Mtanzania kaliona hili ba kulishuhudia.
 
Back
Top Bottom