safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Never never never outshine the master...Amani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za kasim majaliwa enzi za magu na enzi za Mama yetu kipenzi
LONDON BOY
Sio never outshine the master tu Bali unatakiwa ujue kwamba master wangu ni vitu gani nikifanya atatafsiri kwamba namzidi ?
Kila master ana code zake tofauti ambazo ukiziingilia tu anakutafsiri kwamba unataka kumu outshine.