😂🤣😁Amekalia kupiga mishangazi ya bungeni tu
Yule Kala AjiraMajaliwa shujaa wa ndege bukoba
SubhanAllah!Yamekua hayo tena?Mjomba wa taifa.🤔Amekalia kupiga mishangazi ya bungeni tu
Usipo jifunza kuishi kiunafiki ukiwa CCM huwezi kudumu kwenye nafasi kama huyu Majaliwa anaishi kiunafiki sanaa,Amani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za kasim majaliwa enzi za magu na enzi za Mama yetu kipenzi
LONDON BOY
unini?Amesema anautaka tena
AstaghafirullahAmekalia kupiga mishangazi ya bungeni tu
Kafulila hana hamuSubhanAllah!Yamekua hayo tena?Mjomba wa taifa.🤔
Lahaula kakwata.🤔Kafulila hana hamu
Sio kwamba aliachwa kwenye teuzi bali alisusa. Baada ya kubembelezwa basi akaomba apewe chaka lolote ambalo hatokuwa anakutana mara kwa mara na mbaya wakeLahaula kakwata.🤔
New boss new rules. Kokote kule nchi hii bossi mpya anakuja na strategy mpya, ww wa chini una option mbili tu, uendane nae, au uache kaziAmani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za kasim majaliwa enzi za magu na enzi za Mama yetu kipenzi
LONDON BOY