Never never never outshine the master...Amani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za kasim majaliwa enzi za magu na enzi za Mama yetu kipenzi
LONDON BOY
Kwahiyo jamaa uwezo wake ni mkubwa kuliko master wakeNever never never outshine the master...
Sio never outshine the master tu Bali unatakiwa ujue kwamba master wangu ni vitu gani nikifanya atatafsiri kwamba namzidi ?
Kila master ana code zake tofauti ambazo ukiziingilia tu anakutafsiri kwamba unataka kumu outshine.
That's your analysis mkuuππKwahiyo jamaa uwezo wake ni mkubwa kuliko master wake
Mkuu uelewa wako nauheshimu sana.πππMi ndo nimekuelewa hivyo chief
Baada ya kifo cha JPM, alikua na option 2 ajiuzuru kiheshima, au aishi kama warumi, he made his own decision π€£Anaishi kama warumi tu π€£ huwezi kuwa Roma ukataka uishi kimakonde, hutatoboa na hio ndio tafsiri yake.
Na kwa namna yalivyo nona! π Wallah tena hata ningekuwa mimi, dhambi yΓ uzinzi ingenihusu!Amekalia kupiga mishangazi ya bungeni tu
Kwahiyo unataka kutuambia wa magufuli akikutana na wasamia , wa magufuli atamtumbua wa samia?Amani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi.
LONDON BOY
Ndio venye inatakiwa, hamna mtu hapendi kuishi kwenye msafara wa VX-R full maving'ora ki VIP for the sake of uzalendo. Nobody does that atleast for now π€£Baada ya kifo cha JPM, alikua na option 2 ajiuzuru kiheshima, au aishi kama warumi, he made his own decision π€£
Assad alishindwa hilo sahizi kuchwa kulia lia tu kwenye Media tofauti π€£π€£π€£Umenena vyema sana mkuu