🤣 Analia kama kafiwa na mzazi, kumbe kafutwa kazi tu maumivu hayaishi. Nyongo kaliAsad alitaka awe CAG wa milele
Hujakosea mkuu, uko sawa! 😉Amani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi.
LONDON BOY
Watu kama Hawa hata akija kukojorewa kwake atanyamaza tu Kwa hofu ya kuwa akisema public atatekwa!!Niko nyuma ya key board siyo rahisi kihivy
Kwani siri?Amani iwe nanyi wapendwa wezangu
Nimekubali kweli kuwa ukali mbwa hutegemea anayemiliki
Kuna mbwa kama pambo na kuna mbwa muwindaji
Naona sura mbili za Kassim Majaliwa enzi za Magu na enzi za Mama yetu kipenzi.
LONDON BOY