Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Sisi tulipo hapa ina maana hatufanyi uhalifu kama hao majambazi, wale waliamuwa kushika silaha na kuuwa watu wa vyama na askari, mwisho wake ni huu tu, hakuna haja ya kulimbikiza kesi, magereza yenyewe sasa yanajaa mafisadi!
Ukishika silaha na ukaitumia vibaya kama wale mwisho wake ni ndio huu, hakuna cha kesi wala haki kwako, fundisho kwetu..
 
Wote13 wameuwawa? Bila ata mmoja kumkamata akiwa hai, ili kustrengthen uchunguzi wa kihalifu
 

Tu subiri wajane walilie waume zao
 
Magufuli na Siro watakwenda the Hague kwa kuanzisha rasmi opresheni uwa wananchi wanauwaje wananchi bila kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria hili jambo nila kulikemea sana nchi hii haiko vitani jamani kwa nini watu wanauwawa kila siku na wananchi wanaangalia tu wakiwamaliza wananchi wa Kibiti watahamia eneo lingine kuuwa wananchi wakiwaita majambazi wapi majambazi yanaweza kuwa 13 pamoja nyie endeleeni kuuwa tu
 
kwa hiyo, Wewe unaona hizo smg walikuwa wanapikia ugali
na umeambiwa walilushiana riss
 
Lete ushahidi mkuu hivihivi na wewe hatutakuamini kama unaotaka tusiwaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kivipi mimi naona kama kibiti pametulia, hivi wananchi tunataka nini zaidi ya utulivu eneo hilo la kibiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamruliaje kama wananchi 13 wameuwawa leo na jeshi la polisi hii sasa ni vita endelevu jeshi la polisi kwa kuuwa wananchi wakisingizia majambazi mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…