MICHAEL MPANJI
Member
- Oct 29, 2014
- 89
- 26
Naomba tutafakari kwa pamoja, mathalan wangekamatwa na kusema tumeua kwa sababu tunachuki na ccm ingehalalisha mauaji au? jambazi anapomimina risasi kwa lengo la kuua polisi is it reasonable kufikiri polisi atakuwa anataka kulenga miguu ili asijekuua?Hakuna majeruhi/survivor hata mmoja tu asaidie kueleza kwa nini walikuwa (allegedly) wanavamia na kuua viongozi wa CCM tu? Kwanini tumewaua wote? Kwanini hata mmoja tu hakupigwa shaba ya mguuni badala ya kifuani au kichwani?
Miili ya askari nane waliouwawa uliiona? Je, ni kuwa hawakuuawa?Wameua basi!? Hamna lolote ... eti siku zote wanawauwa hamna miili tunayoiona wala nini.... hizo silaha tu tunaoneshwa ingekuwa kweli tungeoneshwa na miili ya hao watu..
MAIGIZO YANAENDELEA
Big head thinner brainSentensi yako tu inaonyesha kiwango chako cha elimu/uelewa. Nani amekuambia hata hiyo shule nimeenda? Kwanza acha dharau. Nikikuambia elimu niliyonayo unaweza ukaniabudu
Mbali na hayo, unafahamu maana ya "define" au ndio 'shule uliyofaulu wewe" imeishia hapo?
Hivi bado tuko kwenye zama za kutambia dini/imani ya mtu kwa kuangalia jina lake?
Magufuli endelea kutoa elimu bure kwa watz coz kuna watu walinyimwa na awamu zilizopita halafu wanakuja kutupa tabu humu
Hivi kweli hata kwa ishu serious kama hii unaita maigizo, fanya effort ndogo tu ya kwenda katika hospitali inapohifadhiwa miili ukashuhudie.Hapo ningeamini lakini hapo ni silaha tu ...
Tunadanganywa.. hawapo siriasi Jeshi linataka sifa. Hamna jambaz aliyeuwawa.
Kila tukio la namna hii likitokea watu wengi huwa hawaamini.
Ukweli ndio huo . Maigizo yanaendelea awamu hii ya 5
Kuna mtu anaishi mkuranga aliambia kuwa ukikutana na polisi usiku , ukikimbia tu unakula risasi hadi kifo hiyo haina mjadala, ukisimama utapigishwa kichurachura hadi uombe poo kisa et wamesha piga marufuku watu kutembea usikuHivi kwenye mapambano inakuwaje hata polisi wasiumi japo kidogo? Mi siamini kupata taarifa za upande mmoja, kwanini kila siku tunasikia vifo? Kwanini huyo aliye wapeleka naye hatukumsikia akikili kuwa haya yanayosemwa ni kweli? Mimi siamini kuchukua ripoti ya upande mmoja, hatuna jeshi la polisi, mnaua watu hovyo na mnajitokeza kujisifia!!! Kamateni waharifu na sio kuwauwa jamani. Mkumbuke hakuna kitu kibaya kumwaga damu ya mtu, damu ikisha mwagika haitatuacha salama. Ikidai haki nani atakuwa tayari kuisimamisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafa pia sasa sijui na yy alikuwa anapambana na polisi au wahalifu wenzie?huyo alowapeleka yeye ana hali gani. yeye mzima?
Sasa kama kuna mpaka hand grunets kuna nini cha ziada? Wameua imetoshaKuna jambo moja wangetusaidia kutuelewesha. Siku hizi kila mhalifu anayewapeleka polisi maeneo ya tukio kuwaonyesha wengine wako wapi naye anaishia kufa katika mapambano "kwa kujeruhiwa na kuvuja damu nyingi"
Jee huwa anapowapeleka huko halindwi ili asidhurike?
Hao watu wanajulikana kwa sura na majina, walishatangazwa zaman na picha zao zikasambazwa... mtu yeyote ambae angesaidia kupatikana kwao angepewa zawadi ya mil 10, pia kuna wengine wako lock up, wanaweza kutumiwa kutambua wenzaoWametambuaje majina yao na walipambana kwa risasi. Au wakati wanakufa walitaja majina yao? Au waliweka parade kijinini wakawatambua?? Maana hata mtu mwenye maumivu ya risasi hawezi kukupa majina full
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu ndio maana wanasema Ni watuumiwa wa ujambazi na si majambaziHiki ni kiinimacho tu. Wanauhadaa uma jeshi lionekane linafanya kazi inayostahili. Kazi ya polisi sio kuua, na ikitokea wameua haitakiwi kudanganya walijeruhiwa wakafa baadae. Si rahisi kujeruhi watu 13 na wote 13 wakafa ndani ya saa chache.
Habari zingine wanatangaza lakini hazistahili kutangaziwa umma. Ni habari za intelijensia ya jeshi na zinabaki jeshini. Ni maadili gani ya kazi ya jeshi unatangaza hadi sehemu silaha ilipoibiwa na ilipotumika katika uhalifu? Ni sawa kwa jeshi kuhitimisha kuwa waliouawa walikuwa majambazi na/au wahalifu? Hii ni kazi ya mahakama, hata kama polisi inahisi hivyo hao wanabaki kuwa watuhumiwa tu. Ni mahakama pekee ndiyo ingehitimisha kuwa hawa jamaa ni wahalifu.
Jeshi la polisi linahadaa sana umma kwa kuuaminisha watu fulani ni wahalifu. Tena mbaya zaidi linataja na majina ya wengine ambao hawajakamatwa! Ni intelijensia ya wapi hii?
Ni wakati muafaka kitengo cha intelijensia cha jeshi la polisi kiangaliwe upya. Inawezekana hawatambui miiko ya kazi yao au kuna watu wanaingilia kazi isiyo yao, kazi inayotakiwa kufanywa na kitengo cha intelijensia cha jeshi.
kwa mtindo huu ni rahisi sana kwa siri za jeshi kuvuja, na ni moja ya sabau ya kukomaa kwa uhalifu nchini.
Kuna shehe pia anatafutwa hapo soma majina ya wanaotafutwa, Uisilamu ni ugaidi na ugaidi ni UisilamuMajina pekee sio kielelezo cha upande mmoja, waweza kuta mtu anatumia jina kama Asia, Fatuma, Rabia, Juma na hata Malik na bado akawa wa upande mwingine.[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jamii Forums mobile app
Kikosi cha operation ipi?Pongezi nyingi kwa kikosi cha hy operation inayoundwa na Jeshi la Police na JWTZ,mmefanya kazi nzuri sana na endeleeni kuwanyang'any a silaha kabla hawajawanyang'any a nyie na wananchi wa Kibiti.
Watu wanadai muwalete mahakamani,hapana msiwalete, malizaneni huko huko kwenye uwanja wa vita, mkimkamata hai mchukueni maelezo ya kutosha Kisha mkiridhika mpokonyeni silaha yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tantalila[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaonyesha unaongea sana
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app