Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Hakuna majeruhi/survivor hata mmoja tu asaidie kueleza kwa nini walikuwa (allegedly) wanavamia na kuua viongozi wa CCM tu? Kwanini tumewaua wote? Kwanini hata mmoja tu hakupigwa shaba ya mguuni badala ya kifuani au kichwani?
Naomba tutafakari kwa pamoja, mathalan wangekamatwa na kusema tumeua kwa sababu tunachuki na ccm ingehalalisha mauaji au? jambazi anapomimina risasi kwa lengo la kuua polisi is it reasonable kufikiri polisi atakuwa anataka kulenga miguu ili asijekuua?
 
Sentensi yako tu inaonyesha kiwango chako cha elimu/uelewa. Nani amekuambia hata hiyo shule nimeenda? Kwanza acha dharau. Nikikuambia elimu niliyonayo unaweza ukaniabudu

Mbali na hayo, unafahamu maana ya "define" au ndio 'shule uliyofaulu wewe" imeishia hapo?

Hivi bado tuko kwenye zama za kutambia dini/imani ya mtu kwa kuangalia jina lake?

Magufuli endelea kutoa elimu bure kwa watz coz kuna watu walinyimwa na awamu zilizopita halafu wanakuja kutupa tabu humu
Big head thinner brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ningeamini lakini hapo ni silaha tu ...
Tunadanganywa.. hawapo siriasi Jeshi linataka sifa. Hamna jambaz aliyeuwawa.

Kila tukio la namna hii likitokea watu wengi huwa hawaamini.
Ukweli ndio huo . Maigizo yanaendelea awamu hii ya 5
Hivi kweli hata kwa ishu serious kama hii unaita maigizo, fanya effort ndogo tu ya kwenda katika hospitali inapohifadhiwa miili ukashuhudie.
 
Hivi kwenye mapambano inakuwaje hata polisi wasiumi japo kidogo? Mi siamini kupata taarifa za upande mmoja, kwanini kila siku tunasikia vifo? Kwanini huyo aliye wapeleka naye hatukumsikia akikili kuwa haya yanayosemwa ni kweli? Mimi siamini kuchukua ripoti ya upande mmoja, hatuna jeshi la polisi, mnaua watu hovyo na mnajitokeza kujisifia!!! Kamateni waharifu na sio kuwauwa jamani. Mkumbuke hakuna kitu kibaya kumwaga damu ya mtu, damu ikisha mwagika haitatuacha salama. Ikidai haki nani atakuwa tayari kuisimamisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anaishi mkuranga aliambia kuwa ukikutana na polisi usiku , ukikimbia tu unakula risasi hadi kifo hiyo haina mjadala, ukisimama utapigishwa kichurachura hadi uombe poo kisa et wamesha piga marufuku watu kutembea usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria lazima zifuatwe ila hawa wauaji wa Kibiti nao wametesa familia nyingi,kuna watoto wamepoteza wazazi zao na sasa wanahangaika sana.Kuna watu pia wamepoteza wapendwa wao ambao wengine walikuwa wanawategemea sana kuendesha maisha yao ya kila siku.Wote wapumzike kwa Amani Amina.
 
Kuna jambo moja wangetusaidia kutuelewesha. Siku hizi kila mhalifu anayewapeleka polisi maeneo ya tukio kuwaonyesha wengine wako wapi naye anaishia kufa katika mapambano "kwa kujeruhiwa na kuvuja damu nyingi"
Jee huwa anapowapeleka huko halindwi ili asidhurike?
Sasa kama kuna mpaka hand grunets kuna nini cha ziada? Wameua imetosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya majambazi yameuwa watu zaidi ya 30 wasiokuwa na hatia na kati ya wanaotoka povu humu hawakuwahi kulaani mauwaji ya wasio na hatia. Leo wenye hatia wanauawa eti wengine mnataka wakamatwe wapelekwe mahakamani na siyo kuwauwa. Mbona wao hawakuwapeleka mahakamani raia wasio na hatia?
 
Wote ni waisilamu haya ni magaidi ni darasa tosha kwa mataahira wengine wa wafuga majini.
 
Polis na nyie muwe mnabadilika kila siku sound ni hiyo hiyo moja? Eti mlienda na jambazi akawaonyeshe ngome yao ndio mkakutana na upinzani?
Kule mwanza mlifanya hivyo hivyo mkasema jambazi kawatoroka.
Juzi uko Kibiti mkafanya hivyo hivyo mkasema jambazi kafa baada ya kutaka kutoroka.
Jana mmefanya hivyo hivyo, jaribuni kubadilika labda tutaelewa sound zenu.
 
Wametambuaje majina yao na walipambana kwa risasi. Au wakati wanakufa walitaja majina yao? Au waliweka parade kijinini wakawatambua?? Maana hata mtu mwenye maumivu ya risasi hawezi kukupa majina full

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu wanajulikana kwa sura na majina, walishatangazwa zaman na picha zao zikasambazwa... mtu yeyote ambae angesaidia kupatikana kwao angepewa zawadi ya mil 10, pia kuna wengine wako lock up, wanaweza kutumiwa kutambua wenzao
 
Hiki ni kiinimacho tu. Wanauhadaa uma jeshi lionekane linafanya kazi inayostahili. Kazi ya polisi sio kuua, na ikitokea wameua haitakiwi kudanganya walijeruhiwa wakafa baadae. Si rahisi kujeruhi watu 13 na wote 13 wakafa ndani ya saa chache.
Habari zingine wanatangaza lakini hazistahili kutangaziwa umma. Ni habari za intelijensia ya jeshi na zinabaki jeshini. Ni maadili gani ya kazi ya jeshi unatangaza hadi sehemu silaha ilipoibiwa na ilipotumika katika uhalifu? Ni sawa kwa jeshi kuhitimisha kuwa waliouawa walikuwa majambazi na/au wahalifu? Hii ni kazi ya mahakama, hata kama polisi inahisi hivyo hao wanabaki kuwa watuhumiwa tu. Ni mahakama pekee ndiyo ingehitimisha kuwa hawa jamaa ni wahalifu.
Jeshi la polisi linahadaa sana umma kwa kuuaminisha watu fulani ni wahalifu. Tena mbaya zaidi linataja na majina ya wengine ambao hawajakamatwa! Ni intelijensia ya wapi hii?
Ni wakati muafaka kitengo cha intelijensia cha jeshi la polisi kiangaliwe upya. Inawezekana hawatambui miiko ya kazi yao au kuna watu wanaingilia kazi isiyo yao, kazi inayotakiwa kufanywa na kitengo cha intelijensia cha jeshi.
kwa mtindo huu ni rahisi sana kwa siri za jeshi kuvuja, na ni moja ya sabau ya kukomaa kwa uhalifu nchini.
Ndugu ndio maana wanasema Ni watuumiwa wa ujambazi na si majambazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majina pekee sio kielelezo cha upande mmoja, waweza kuta mtu anatumia jina kama Asia, Fatuma, Rabia, Juma na hata Malik na bado akawa wa upande mwingine.[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
Kuna shehe pia anatafutwa hapo soma majina ya wanaotafutwa, Uisilamu ni ugaidi na ugaidi ni Uisilamu
 
Hii operation ya Kibiti niliwahi kusema wakimpeleka mafele watamaliza tatizo na kweli mtauona moto,mtu anasema waliouwawa in wa upande mmoja Je mbona wao walikuwa wanawaua wa upande mmoja awakulalamika? Ili kumaliza tatizo no yyte atakayekutwa na silaha au akagundulika in mfadhili wa hayo magenge dawa in kifo tuu maana tumechoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pongezi nyingi kwa kikosi cha hy operation inayoundwa na Jeshi la Police na JWTZ,mmefanya kazi nzuri sana na endeleeni kuwanyang'any a silaha kabla hawajawanyang'any a nyie na wananchi wa Kibiti.
Watu wanadai muwalete mahakamani,hapana msiwalete, malizaneni huko huko kwenye uwanja wa vita, mkimkamata hai mchukueni maelezo ya kutosha Kisha mkiridhika mpokonyeni silaha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi cha operation ipi?
 
Back
Top Bottom