MICHAEL MPANJI
Member
- Oct 29, 2014
- 89
- 26
Naomba tutafakari kwa pamoja, mathalan wangekamatwa na kusema tumeua kwa sababu tunachuki na ccm ingehalalisha mauaji au? jambazi anapomimina risasi kwa lengo la kuua polisi is it reasonable kufikiri polisi atakuwa anataka kulenga miguu ili asijekuua?Hakuna majeruhi/survivor hata mmoja tu asaidie kueleza kwa nini walikuwa (allegedly) wanavamia na kuua viongozi wa CCM tu? Kwanini tumewaua wote? Kwanini hata mmoja tu hakupigwa shaba ya mguuni badala ya kifuani au kichwani?