mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,435
- 5,541
Rais kashasema walazwe sasa mntaka wawakamate ili iwe nini kesi hatutaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaigize na wewe kibiti tuone move yakoIna maana majambazi yalikua na bunduki za kufyatulia gas cannisters
Maigizo maigizo
Watu wanasilaha uwakamate kama kuku wewe unaweza? Au raha yenu waue askari wetu?Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
nimekusoma mkuu. hata mimi ni mlevi wa speed sana especially ninapokuwa na gari yenye engine kubwa na yenye kuruhusu mbio. nilikuja bongo mara moja nikawa na drive kwenda kijijini, nilipigwa torch zaidi ya kumi. nilivyofika Dodoma tukazinguana na traffic...wakanisweka ndani. wakaniachia baada ya masaa 3 baada ya kuomba niongee na RPC. kwa huko nyumbani tz, raha ya kuendesha gari haipo tena...Mchana tunapigwa tochi na trafik
Usiku majambaz wanatega magogo
Walevi wa drive km za marck Schumacher hatuna raha[emoji3] [emoji3] [emoji3]
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
So cleverHell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Maheremu hakuna picha zao? Hata nusu miili tu? Na je hakuna aliyekuwa walau na kitambulisho chochote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lazima uamini wewe, kaa hivo hivo na majungu yakoPolisi wa kibongo huwa wanaua kupoteza ushahidi, tutaamini vipi kama kweli ni wahalifu huku wameuawa? Mlishindwa vipi kuwakamata wakiwa hai?
Sent using Jamii Forums mobile app