HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Mbona miili haionekani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa IGP Siro!!
Hahahah...nimecheka sana! hiyo staili aliitumia sana kamanda Kova! alikuwa anaita press conference na kuchimba mkwara kuwa wamekamata majambazi yenye siraha na kuonyesha siraha hizo kwa waandishi wa habari. sasa watu wanajiuliza kwa nini hatusikii majambazi yakipandishwa mahakamani or hata kuonyeshwa sura zao. jamaa alifanikiwa sana kwa staili hiyo though mwishoni watu walimshitukia kuwa ni msanii...Kule Uganda mseven aliweka PROPAGANDA ya kuwaaminisna watu,
Ikifika jumamosi wanatoa silaha kwenye ghala , wanaenda porini wanafyatua risasiiiii
Then wanatangaza kuwa majambazi yamenyang'anywa silaha hizi hapa,
Wao wameuwawa, picha za wafu si vema kuonesha kwa media,
wananchi wanashangilia kwa kiganda ,webale webale senttebbe museven, ssabasaja museven,
Africa hatari sana
Kazi nzuri,lakini hakuna njia rahisi ya kupata angalau mmoja akiwa hai ili aweze kurahisha kazi ya kuwakamata au kujua the motive behind these killings?
Wenyewe wamesema majambazi!wewe unasema magaidi?kwa nini wanatangaza lakini? magaidi yanapata hasira za kulipa visasi wanapotangazwa wamepigwa.
kwa nini busara isitumike nyie watu?!!
eti wanatuonyesha manguo! Igizo dhima hilo!!!Mbona miili haionekani?
Hao majambazi wako wapi , uraia wao ni wa wapi, hawana id zozote mifukoni ? Jee kuna popote penye msiba maeneo hayo? Au sio watu wa kibiti wamekuja tuu.Chama cha kutetea majambazi watakuja kusema wameonewa.......
Kwenye majibizano ya risasi huchagui pa kipigaHakuna majeruhi/survivor hata mmoja tu asaidie kueleza kwa nini walikuwa (allegedly) wanavamia na kuua viongozi wa CCM tu? Kwanini tumewaua wote? Kwanini hata mmoja tu hakupigwa shaba ya mguuni badala ya kifuani au kichwani?
Walipouawa polisi kibiti ilikuwa judicial killing?Wameonewa sana, extrajudicial killing!!? why why why
Wewe mtu, majambazi wana bunduki nane kumbukuka vinginevyo askari wetu ndio wangeuwawa, waache polisi wafanye kazi yaoHell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
mkuu... kumbe hilo ndilo lengo lenyewe?Sasa wasipo tangaza Magufuli na watanzania watajuaje kwamba Siro na vijana wake wanafanya kazi
Unawezaje Ku enforce law katikati ya majibizano ya risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi ama magaidi?Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
mkuu, jambazi akiua anachukua mali. hawa jamaa wanaua afu wanapiga lapa!