kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Mpaka sasa unajua idadi ya waliouwawa ni 41 yaani watu 41 wasiokuwa na hatiaWAMEUA SANA WATU MAJAMBAZI HAYA
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa unajua idadi ya waliouwawa ni 41 yaani watu 41 wasiokuwa na hatiaWAMEUA SANA WATU MAJAMBAZI HAYA
kwa sababu watu kama nyinyi mpo wengi sana ,hamkawii kuuliza "mbona kibiti kimya?"kwa nini wanatangaza lakini? magaidi yanapata hasira za kulipa visasi wanapotangazwa wamepigwa.
kwa nini busara isitumike nyie watu?!!
Hayo umeyasema wewe kwani wao wamekwambia wanashida na msaada wa wahalifu.Hivi hakuna namna ya kuwakamata wakiwa hai angalau hata wawili, ili wasaidie jeshi la polisi.
Kwa mtindo wa kuwaua wote itakuwa ni kazi sana kuwatokomeza wahalifu.
Hivi ulisha wahi tembelea Kibiti wewe!!
Hawa watu hujificha kwenye vichaka vikubwa vikubwa
pia ukumbuke kuwa Pwani inaeneo kubwa sana lenye misitu misitu
wewe umeona picha hizo ni silaha sio matoi hayo sasa unategemea watu kama hao utawakamataje au utalenga miguu wakati yeye target yake ni kukuuwa ili achukue silaha vitu vingine si lazima upinge kila kitu aisee....Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Tatizo ukiachiwa na uhai wao, watatetewa mahakamani na watashinda. Wakishinda ndipo wataendeleza ugaidi. Dawa yake ni kuwapoteza ili wenzao waongope. Nadhani kabla ya hukumu ya kipolisi wanakuwa washawahoji na kujua mtandao. Hii ni tekniki inayotumiwa na magaidi piaJe, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
mkuu!! siasa ?! huoni kibiti kulivyo tulia tulia?! wanauwawa watu,polisi ,viongozi wewe unasema siasa Duuu!?
Haya sasa mbona kibiti kunetuliatulia kama wanao uwawa sio majambazi/wahusika!? au hata wake waliokuwa wanauwawa ilikuwa naigizo tu ya serikali?!Wanapeleka watu kule na kuwapiga risasi na kuwawekea bunduki na silaha halafu wanajitekenya kuwa tumeua majambazi kibiti. Ndio tatizo la afrima uongo mwingi kwa kuogopa kufukuzwa kazi. Kwani unafukuzwa kazi pasipo hata kuchunguza kosa. Hakuna majambazi ambao tunaambiwa ni waliobobea na wamepata mafunzo nje leo hii wakae pmj. Watu wanapelekwa kibiti wanauwawa then polisi wanasingizia majambazi wa kibiti. Tusubiri muda utasema ndio polisi tanzania
Hapa ndio nashindwa kuelewa, wahalifu 13 wauwawa na kutelekeza silaha 8. Hao walio uwawa ndio wametelekeza silaha au kuna wengine wamekimbia? Waliouwawa ni kina nani kwa majina?wahalifu 13 wauawa na Polisi huko kibiti, watelekeza silaha 8, pikipiki 2 angalia picha hapo chini:-
Nikwel ingebid wawakamate ili wapate na ushahid kwa matukio mengineJe, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
Unakosea Sana.wewe umeona picha hizo ni silaha sio matoi hayo sasa unategemea watu kama hao utawakamataje au utalenga miguu wakati yeye target yake ni kukuuwa ili achukue silaha vitu vingine si lazima upinge kila kitu aisee....
Yes..cdhani kma kikundi kilikuwa kikubwa saana, nina imani hawa ndo watakuwa mwisho wa mauaji kibitiKila la heri polisi , hatutegemei tena kusikia mauaji ya raia wasio na hatia .