mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
baclays kinondoni branch wazee wa kazi au wazee wa ngwasuma au majambazi.inasemekana wamechukua hela mule bank....nilipigiwa sm nkaambiwa sahvv napita naona watu kibao wa jf...naona huu ni msimu wa majambazi kutafuta hela ya pasaka sjui
-------------------------
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
-------------------------
PIA SOMAWatu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja.
Tukio hilo limetokea muda huu saa nne , katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.