Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo, lazima boxer bm 150 imehusika.......
Mara nyingi uizi wa namna hii huwa ni michongo ya wafanyakazi wa benki husika...
mm nadhani kuna uhusiano ambao si mzuri kati ya wafanyakazi wa benki hiyo haiwezekania uwizi utokee mchana
Uchunguzi ufanyike mara moja
jamani nashukuru sikuwenda maana ningekabwa koo kwani mm ndo bank yangu hiyo
Sasa yameporwa mahela ya bank au mahela ya customer? Sijafaham
utamsikia manager: Majambazi yamepora milioni 800
Majambazi baada ya kuzihesabu hela: Mbona kuna milion 200tu?? teh
Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja.
Tukio hilo limetokea muda huu saa nne , katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola