Majambazi wapora kwenye benki ya Barclays tawi la Kinondoni TX

Majambazi wapora kwenye benki ya Barclays tawi la Kinondoni TX

Yupi sasa, aliyewatuma kuiba au aliyemshawishi mama abebe mzigo bila ya ulinzi
utakodi mlinz mara ngapi akupeleke kudeposit?maana waweza kuta mwngne anaweka au kuchukua hela kila ya masaa matatu, huyo mama anatia huruma utakuta watu wake wakaribu ndo wamekula njama!
 
Hivi hawa PolicE kwanini Wanapenda sana Kuvamia Ma Benki?
 
baclays kinondoni branch wazee wa kazi au wazee wa ngwasuma au majambazi.inasemekana wamechukua hela mule bank....nilipigiwa sm nkaambiwa sahvv napita naona watu kibao wa jf...naona huu ni msimu wa majambazi kutafuta hela ya pasaka sjui

-------------------------
Hii ndio tabu ya cash economy!
Hii biashara ya kubeba mirundo ya note sijui itaisha lini
 
branch ile ya tx huwa wanajiachia sana alafu huduma zao ni za kirasimu sana.....wanaletaga kujuana sana urafiki sana bank pale inakua kama kijiwe...sijui yuls dada branch manager wa pale alikuaje wakati qwa tukio.
 
utakodi mlinz mara ngapi akupeleke kudeposit?maana waweza kuta mwngne anaweka au kuchukua hela kila ya masaa matatu, huyo mama anatia huruma utakuta watu wake wakaribu ndo wamekula njama!

Kama una sale volume ya kupeleka pesa kila baada ya masaa matatu unashindwaje kwenda kuomba escort!!!?????
Atatia huruma sana tu yeye na wengine kama hawataki kuheshimu pesa!!!!!!
 
ngoja niwaletee picha wakati wakuu wa kazi wakiwa wanapiga tukio 😛hoto:
 
Matawi yote ya barclays bank sijui yamekataa au yamewafukuza polisi kuwa walinzi wao maana sasa ni mwaka huwa hatuwaoni polisi kwenye benk za barclays. Pia haka katabia cha kutembea na manoti mengi bila ulinzi kitaendelea kuwagharimu sana maana kova anatoa elimu mnampuuza. Wala siwaonei huruma hata kidogo.
 
Back
Top Bottom