Majambazi wapora kwenye benki ya Barclays tawi la Kinondoni TX

Makomandoo wetu huwa wanakosa sehemu za kwenda kujaribiwa kwahiyo huwa wanajijaribu wenyewe.
 
Rpc kinondoni kashindwa kazi anakazi,ya kubanduana tu na ma wp
 
utakubaliana na kova kuwa bodaboda na bajaj katikati ya jiji wanaleta na kuchangia uporaji
 
Tupo mtaani tunaendelea na uchunguzi na kuwatafuta wahusika>soon tutawakamata
 
duh...kova hajafika hapo?
kabanga
===>Utasikia Watu wenye vitu vizito ndio wameiba hapo,tehe tehe
===>Utasikia walikuwa wamevaa tisheti za bluu,nyekundu,nyeupe na zina alama za vidole vikimaanisha "PEACE"
===>Chezea Kouva Weye!
 
Last edited by a moderator:
Kama ni ndani ni ngumu kuamini kwamba ni mfanyakazi wa benki kwa sababu muda ni kidogo sana kupeana taarifa na kuja kufanya tukio, unless walikuwa standby.

Mkuu plan huwa ni za muda mrefu si za kushtukiza, unakuta tokea mlinzi mlangoni hadi wahusika wa masanduku ya fedha wanahusika...

Unless fedha zilizoibwa si za bank bali za mtu aliyetoka kuchukua fedha kwa akaunti yake wakamkwapulia kwa mtindo wa "hit n' run"
 
Rpc kinondoni kashindwa kazi anakazi,ya kubanduana tu na ma wp
Kigogo
===>Mtatoa sana siri zenu,ila zikiwazidi wataomba ip hapa waka -match na line zenu,halafu mtajua maharage mboga au futari
 
Last edited by a moderator:
Sijaelewa bado iliyoibiwa ni bank au wamemuibia tu huyo mmama
 
Hapo, lazima boxer bm 150 imehusika.......

Kitu gani kinafanya aina hii ya pikipiki iwe tofauti na nyingine hadi itumike zaidi kwenye uhalifu? Naomba kufahamishwa hili..
 
Kama hawajauwa raia siyo mbaya!!!Hongera wa ZEE WA NGWASUMA!!!!
 
BARCLAYS WAWE MAKINI, MAANA BRANCH ZAO NYINGI ZIMEKAA KATIKA MAZINGGIRA YA KUIIBIWA IBIWA., mfano: branch ya tanesco mikocheni.
 
zina bima hizo acha tugawane umaskini kama wanavyotuibia huko dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…