JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
SawaTaarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
June 24Sawa
WakomeTaarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
Hivi Kingai bado yupo ofisini!Goba ni eneo la kiutawala la Kingai.
πππGoba kuna duka la kuvamiwa na jambazi mwenye silaha?any way ngoja nikae kimya kwanza