JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.