Majambazi watatu wauawa katika mashambulizi dhidi ya Askati Dar, Juni 24, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
 
Sawa
 
Wakome
 
🐒🐒🐒
16504564148361.jpg
 
Hawa walimbeep muliro
Sshv yy ni mwendo wa kuwafyeka
Tu

Ova
 
Goba ni eneo la kiutawala la Kingai.
 
Goba kuna duka la kuvamiwa na jambazi mwenye silaha?any way ngoja nikae kimya kwanza
 
Back
Top Bottom