Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa.

Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga, hayapigi risasi, yanashusha shoka kichwani kwako.

Ukipiga risasi huwa zinadunda kabisa Kama imepiga chuma. Yanaweza kuteka basi kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa kawaida Askari huwa hawapendi kabisa Kuja kusaidia yanaposikia Warundi Wana show sehemu (huwezi kuwalaumu Askari kwa kweli).

Show nyingi huwa yanapiga mikoa ya Kigoma, Kagera, Geita na maeneo ya Shinyanga.
 
Back
Top Bottom