Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa.

Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga, hayapigi risasi, yanashusha shoka kichwani kwako.

Ukipiga risasi huwa zinadunda kabisa Kama imepiga chuma. Yanaweza kuteka basi kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa kawaida Askari huwa hawapendi kabisa Kuja kusaidia yanaposikia Warundi Wana show sehemu (huwezi kuwalaumu Askari kwa kweli).

Show nyingi huwa yanapiga mikoa ya Kigoma, Kagera, Geita na maeneo ya Shinyanga.
Hakuna jambazi hanae weza pambana na polisi ukiona jambazi hanatamba tambua polisi wako nyuma yao
 
Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa.

Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga, hayapigi risasi, yanashusha shoka kichwani kwako.

Ukipiga risasi huwa zinadunda kabisa Kama imepiga chuma. Yanaweza kuteka basi kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa kawaida Askari huwa hawapendi kabisa Kuja kusaidia yanaposikia Warundi Wana show sehemu (huwezi kuwalaumu Askari kwa kweli).

Show nyingi huwa yanapiga mikoa ya Kigoma, Kagera, Geita na maeneo ya Shinyanga.
Hakuna jambazi anaeweza pambana na polisi ukiona jambazi
 
Yakitoka saiti huwa hayaaminiani yenyewe kwa yenyewe kwa hiyo mtu mmoja anashika bunduki bila risasi mwingine magazine( yenyewe kwa yenyewe risasi zinafanya kazi)
Jambazi hana uwezo wa kupambana na polisi ukiona jambazi anatamba tambua polisi wako nyuma yao,haiwezekani jambazi atoke Burundi mpaka Shinyanga au geita
 
Kuna ukweli na uongo , ukweli yakivamia yanafunga mtaa na mara nyingi wanakuwa na silaha za kijeshi.
Uongo ni kuwa risasi zinadunda mara nyingi opresheni ya kuwamaliza inafanya na jwtz
 
Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa.

Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga, hayapigi risasi, yanashusha shoka kichwani kwako.

Ukipiga risasi huwa zinadunda kabisa Kama imepiga chuma. Yanaweza kuteka basi kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa kawaida Askari huwa hawapendi kabisa Kuja kusaidia yanaposikia Warundi Wana show sehemu (huwezi kuwalaumu Askari kwa kweli).

Show nyingi huwa yanapiga mikoa ya Kigoma, Kagera, Geita na maeneo ya Shinyanga.
Aahaaaaa

Tangu lemutuz katutoka umekosa content za kuandika
 
Back
Top Bottom