Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

Pitia profile yangu imejaa nyuzi za mambo ya Burundi..Nasemaje wewe ni Muongo mnoo hata
 
Acha uonho, nimekaa Kibondo walikuwa wanauwa kila siku, yaani wameuwawa sana hawa majambazi wa Burundi.
 
Wajaribu Kutusumbua WaTanganyika Waone Watakachofanyiwa,Wanajeshi Wapo Tu Kambini
 
Kweli Kikwete karudi!
 
Nimekaa Kibondo, hawa Majambazi kuna siku unaweza sikia wameuwawa 10 hakuna cha risasi kudunda
Risasi kudunda atakua kanogesha uzi tu mazee mbona ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa hata kama sijakaa kibondo naelewa hivyo...
 
DOh
 
Geita sehemu gani ?
 
Risasi kudunda atakua kanogesha uzi tu mazee mbona ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa hata kama sijakaa kibondo naelewa hivyo...
Hata mimi nawaza, kudunda risasi kunawezekanaje?
 
Hata mimi nawaza, kudunda risasi kunawezekanaje?
Tulivyokua tunakua ndio story hizo ipotezee inaonekana habari za hadithi ya kudunda risasi ujakutana nayo mara nyingi sio kweli ni kunogesha story tu mazee kama movie za Kihindi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…