Majanga: Dk. Slaa Akuta SMS za Mapenzi Kwenye simu ya "Mchumba"

Majanga: Dk. Slaa Akuta SMS za Mapenzi Kwenye simu ya "Mchumba"

Status
Not open for further replies.
Hot topic ( Scandal) ni UBAKAJI wala si Kutongozewa/ au kusaidiwa mambo ya Unyumba.Msitutoe kwenye mstari kwa kutulelea habari za magazeti ya udaku na Umbea.
 
Tujadili mambo yamsingi na yanayojenga taifa nani kwakuambia mapenzi yanalindwa
 
ya kapuya ni ya public lakini ya slaa ni private siyo?
Toka lini ishu ya ubakaji tena inayomuhusisha public figure ikawa private?Public ina interest sana tu katika Kesi ya Kapuya! .....punguza kusoma magzeti ya udaku-by doing so utajua hata basic ishu kama hizi!
 
TUNA KAZI SANA KAMA NCHI!!
kama hii nayo ni siasa basi bora wote tuuze maaandazi tu yailahi!
 
Dr needs to get rid of this "mchumba wangu" thing,,,,at that age ni aibu kwa kweli.

aibu kwenu kwa kuwa mmezidi umalaya ndo maana mnashindwa kuwa wawazi na mahusiano yenu
 

Dada FaizaFoxy wewe ni Uamsho namba moja....Naomba nikuulize swali; Je! Swala la Mahakama ya Kadhi litakuwepo kwenye Katiba mpya......Je! Nasisi tutrajiunga OIC......

Nakuuliza maswali haya kwakuwa wewe kama Kiongozi wa Uamusho umekuwa ukishinda kutwa kucha hapa JF kuongelea mambo ya Chedema na Dr. Slaa....Umesahau lengo la Uamsho......

Hatutapenda tena kusikia Hekaya za Gaidi MS zikisingizia TEC....Wakati ndo huu nyinyi mnauacha upite.....Ndo maana wenzetu wanatuambia sisi hatujasoma.....
 
Last edited by a moderator:
sera ya chama hiyo..kuoa kwao sio lazima ,,hebu angalia hapa.
1.SLAA ANA MCHUMBA
2.ZITTO ANA CHUMBA
3.MBILINYI ANA MCHUMBA
4.MNYIKA ANA CHUMBA
5 NASARI ANA MCHUMBA
6.MDEE ANA MCHUMBA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom