Majanga: Dk. Slaa Akuta SMS za Mapenzi Kwenye simu ya "Mchumba"

Majanga: Dk. Slaa Akuta SMS za Mapenzi Kwenye simu ya "Mchumba"

Status
Not open for further replies.
Dr. Slaa sisi Watanzania tulio wengi tunakuunga mkono ktk harakati za kutupigania, usikate tamaa kwa haya unayofanyiwa sisi tunajua ni njama tu za kukudhohofisha kisiasa ili isifichue uovu wa Nchi hii. Tunakutegemea wewe na chama chako, na tunajua ujasiri wako tunaamini utavuka vikwazo hivi na kushinda kwa ajili yetu, kumbuka mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe, tunakuombea kwa Mungu.
 
ya kapuya ni ya public lakini ya slaa ni private siyo?

Kapuya amebaka na kuambukiza ukimwi makusudi. Ni suala la jamuhuri kumshitaki. Imehusisha mtu/mtoto ambaye hakuwa na haki ya kufanyiwa hivyo. Huyu ni mambo yao ya ndani ya ndoa, kwani kuna aliyedhurika? Tunaweka msg za mapenzi ngapi humu kama kila anayetumiwa zinawekwa humu?
 
Dada FaizaFoxy wewe ni Uamsho namba moja....Naomba nikuulize swali; Je! Swala la Mahakama ya Kadhi litakuwepo kwenye Katiba mpya......Je! Nasisi tutrajiunga OIC......

Nakuuliza maswali haya kwakuwa wewe kama Kiongozi wa Uamusho umekuwa ukishinda kutwa kucha hapa JF kuongelea mambo ya Chedema na Dr. Slaa....Umesahau lengo la Uamsho......

Hatutapenda tena kusikia Hekaya za Gaidi MS zikisingizia TEC....Wakati ndo huu nyinyi mnauacha upite.....Ndo maana wenzetu wanatuambia sisi hatujasoma.....

Source: MGAGANI HABARI NA MATUKIO.COM: MKE WA DR SLAA ATEGEWA FUMANIZI.
 
Waswahili wanasema kwa mwerevu, kuchapiwa ni siri ya ndani. Mwacheni Dr. Atayamaliza ki private.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom