ya kapuya ni ya public lakini ya slaa ni private siyo?
Dada FaizaFoxy wewe ni Uamsho namba moja....Naomba nikuulize swali; Je! Swala la Mahakama ya Kadhi litakuwepo kwenye Katiba mpya......Je! Nasisi tutrajiunga OIC......
Nakuuliza maswali haya kwakuwa wewe kama Kiongozi wa Uamusho umekuwa ukishinda kutwa kucha hapa JF kuongelea mambo ya Chedema na Dr. Slaa....Umesahau lengo la Uamsho......
Hatutapenda tena kusikia Hekaya za Gaidi MS zikisingizia TEC....Wakati ndo huu nyinyi mnauacha upite.....Ndo maana wenzetu wanatuambia sisi hatujasoma.....
Mambo ya private tujadili ya nini hapa?