Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
Wakuu mi nimeshinda kuielewa hii kitu jana juzi na leo asubuhi profile yangu ya tcu ilikuwa vizuri kabisa lakini ajabu nimejaribu kuingia sa hizi nakuta majanga kwamba sijaaply chochote sa nikawauliza baadhi ya wenzangu kama saba hivi wakasema na za kwao hvo hvo sa nkapata utata but nikijaribu kuclick pale kwenye application ili niselect kozi nyingine hapafunguki sa sijajua tatizo nini na wakati huo huo jina langu halipo kwa wale waliokosa chuo during 1st round selection.. Jaribun kuangalia za kwenu wadau
hata ya kwangu nimeangalia mda huu ipo hivo hivo yan majanga jaman wknd itakua chungu sasa.
Poleni vijana fanyeni co..mnction na TCU.
Hahahaha...nimejaribu kuangalia ya dogo pia naona hivyohivyo na jina lake halimo miungoni mwa yale ya 2nd application na awali ilikuwa sawa, sijui shida itakuwa nini aisee.
Umejaribu kuwasiliana nao hao jamaa lakini?may be n system error
dedline tayari usihofu kama jana ili kuwa powa basi usijali
Umejaribu kuwasiliana nao hao jamaa lakini?
punguzeni preshw web ya tcu ndivyo ilivyo,very poor,nq safari hii walivyoweka elf 50 nikajua wata improve kumbe ndio yaleyale!
Mi naamini ni system failure itajirekebisha tu yenyewe, Ondoa shaka.
Aisee hili jambo ni kwa wooote.. Me ninachek hapa imezingua hivyo hivyo.. Nimewachekia washkaj zangu 5 Zikiwemo One nzur tu jambo ni lilelile.. But nimejaribu kuwasiliana na WAJUZI wa mambo wanasema ni matatizo ya MTANDAO SO akanisihi nisiguse chochote bali ni LOG OUT NIWAACHIE TCU WAFANYE YAO
vipi mwanzoni ilikuwa vizuri mkuu?