KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
You're missing the point.Tuongee ukweli... Magufuli is doing good on infrastructure, ubaya wake uko kwenye demokrasia
Magufuli alitangaza wazi wazi kipaumbele chake ni kufuta upinzani nchini pamoja na kuwa kipaumbele chake na lenyewe limemshinda ameamua kwenda kujificha chato.Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.
Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma
Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama
Ni majonzi kwa taifa.
hata wewe shangaa.Mbona meli za ziwa Victoria zimeshakamilika na Kuna majaribio ya mwisho yanatarajiwa zianze kutoa huduma?
Kuhusu Stiegler's gorge, mbona kazi inaendelea mpka Sasa?
Kiufupi mngefurahi Sana kuona miradi ya maendeleo ikisimama badala ya kukamilika inufaishe Watanzania wote.
Mnafurahi kutoboa mtumbwi mlioupanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi hamna tofauti na shetaniHakika !
Udhaifu huu ndiyo mtaji wa CCM sasa spika anaenda kinyume na katiba hakuna wa kumzuia kumkemea hata spika wa Dunia anaona aibu kukosoa NdungaiUkiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Magufuli ataongoza miaka 12 kwani ameachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani waambukizane corona wafe kwa wingi ili apate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu mpaka 2022 kisha uchaguzi ukifanyika akae miaka mitano ni mbinu ambayo hata kagame huitumiaNAWAKUMBUSHA TU KUWA TUNA MIAKA MINGINE MITANO AMBAYO NI MIGUMU ZAIDI YA HII YA MWANZO