Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Ukiwaonea watu masikini hakuna jema lolote utafanya likafaulu si maneno yangu ni Biblia
 
Hawezi kufanya lolote zaidi aliyokwisha fanya toka tupate uhuru huyu ndiye rais aliyetufundisha kuua na kuteka ili asipingwe. Hapa kapata asilimia 100. Hongera sana muuaji hata sasa unanivizia kwa ukweli huu.
 

Hahahaha kamandaaaa
 
We we sio bule umepewa limbwata na lisu unapozungumzia miladi ya madaraja na barabara za kipindi cha mkapa na kikwete unaachaje kumtaja magufuli nani alikuwa waziri wa ujenzi kwa kipindi hicho.
 
Unaweza ukawa na nia nzuri katika uanzishaji miradi, lakini ukokosa PLAN ni sawa tu na nia OVU. Yote hii inasababishwa na u-MUCH KNOW au One Man Show. Kila kitu Magufuli anajifanya anajuwa na hahitaji ushauri
 
Unaweza ukawa na nia nzuri katika uanzishaji miradi, lakini ukokosa PLAN ni sawa tu na nia OVU. Yote hii inasababishwa na u-MUCH KNOW au One Man Show. Kila kitu Magufuli anajifanya anajuwa na hahitaji ushauri
Urais ni taasisi, sasa wewe utasemaje kila kitu anafanya yeye? Mkosoeni kwa yale ya kweli, mkianza kuongeza chumvi mnaonekana viroja.

BTW bado tunaangalia mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda hii itakuwa another game changer ni matumaini yangu mradi huu utafanya impetus kubwa sana kwenye kuinua hali ya maisha kwa kiwango cha juu kwa Watanzania na Waganda. Then na gas ya kusini itasaidia sana.

BTW tuache chuki binafsi kwenye awamu ya 5 wengi wanajitahidi maana ile tumbua tumbua imesaidia sana. Heshima ya nchi yetu inarudi. Wale ndugu zetu waliokuwa wanapakia Twiga kwenye ndege na kubeba pesa kwenye sandarusi wameadimika.
 
Hamna kitu kwenye bomba la mafuta. Msikie Museveni hapa
 
Hamna kitu kwenye bomba la mafuta. Msikie Museveni hapa
View attachment 1570020View attachment 1570020
That was just a joke? Did you listen live on TV? JPM hawezi kushindwa huu uchaguzi na wewe unalifahamu hilo.

Kuhusu Bomba la mafuta ni haki yako kuwa na wasi wasi kwa sababu wenye wasi wasi huwa wapo tu hawatakwisha, lakini Bomba la mafuta ni
game changer kubwa sana. As you are aware this project had been there for a long time. If you listen carefully to what Museveni said on his speech you will realise that bado kuna wengi hata Ulaya ambao hawataki mema kwa Waafrika.

Kuanzia November utaona jinsi nchi hii itakavyokuwa inakimbia .... .... .... Hapa Kazi tu! Nafahamu kabisa moyoni kwako inakuuma lakini ukweli mzima unaufahamu hivyo usiwe na shaka kabla ya JPM kumaliza kipindi cha pili Bomba litakuwa linasafirisha mafuta.
 
Soma hapa
 
Mshamba na limbukeni keshashundwa tangia siku zake 100 za kwanza hasa alipotamka kua anataka kuwafanya matajiri waishi km mashetani na masikini waishi km malaika......

Jinga sana jamaaa
 
Kamanda kwa akili hizi unaamini kabisa Lisu atashinda kura uchaguzi mkuu? Duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…