What????500 wamerudi mtaani?? this is very serious!! Nini kimeipata elimu yetu jamani? Sekondari majuzi tulikuwa mass failure huku juu nako...dahZaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9
jamani unajua ukija kabla ya kutoa au kuchangia thread hii kwa masikitiko kana kwamba udsm ndo chuo pekee wamedisco sn au wanaonewa sn kuna mambo mengi ya kujiuliza.
Mi nadhan kikubwa ni asilimia ngp waliodisco kila department/college isije ikawa unaskitika tu kua wamedisco 500 kumbe 500 wenyewe ni kati ya 50,000 sawa na 1% ya candidates wote hapo chuoni kitu ambacho kwa upande wang naweza sema ni ufaulu mkubwa tena wa 99%.
1.9 ya enzi zetu ni bora kuliko 1.3 ya Mulugo/Mwenye 1.4 nae hana vigezo??
hao wahadhiri nao wanakomoa. Wanafunzi nao wapunguze kujisahau. Siku hizi udsm tuition ni jambo la kawaida sana ikimaanisha kuwa wengi darasani huwa wanatoka kapa.
mkuu,kuna mtu namfahamu ameingia na dv 1.4 ila wamemla kichwa kule coet.utasema huyo nae background yake ilikua mbovu?
Wengi wao wakiwa sekondari wanafaulu kwa nguvu ya walimu wao (spoon feeding), wakifika elimu ya vyuo vikuu wanamkuta prof. haandai notsi wala kusahihisha spelling zako. Just hints minofu unajitafutia mwenyewe maktaba na source nyinginezo halali.Unaelewa tofauti ya kushikwa na kudisco?
Idadi hiyo ni kubwa sana kwa disco, poleni wahanga.
Tatizo sidhani kama ni wakufunzi, maana hawajaanza kazi leo.
Tatizo ni misingi mibovu ya elimu za vijana wetu wa sasa, pamoja na anasa
acha uongo mkuu, udsm wakiomba tena course nyingne wanapata, na mkopo juu, kuna jamaa nilpgaga nae alikuwa computer science, kaz ilkuwa kuchek porno ucku kucha wakamla kichwa, akaomba geology wakampa.. freesh kabisa, tena almalza kwa upper second.. wanajipanga 2.. wanaenda shule kusoma, mara ya kwanza walienda kuchk mazingira..Namshukuru Mungu mimi nimepita kwa kishindo, hao wa supp wajipange vema ili waweze kufaulu vema. Na wale wa disco wajipange upya kwa ajili ya kuanza masomo tena mahali pengine, kwao UDSM ndo basi tena.
mkuu kuna hii course inaitwa CL106,jamaa walikua wanasema watashika watu idadi ya shato 5 za mabibo na 5 za cumpus,na kweli wametimiza dhamira yao.