Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

Hiki unachosema hapa kinahusiana na zile story pendwa za Anunaki? au kuna utofauti ktk haya mambo?
 
Mkuu mie huwa nakufuatilia sana hasa ktk zile mada za Anunaki..je hizi story za yesu unazozisema hapa zinaingia pia ktk zile story zako za Anunaki? Kristo na Anunaki kuna connection yoyote
 
Mkuu mie huwa nakufuatilia sana hasa ktk zile mada za Anunaki..je hizi story za yesu unazozisema hapa zinaingia pia ktk zile story zako za Anunaki? Kristo na Anunaki kuna connection yoyote
Hapana ni vitu viwili tofauti Annunak ni viumbe waliokua ni advanced kwenye science na tech
Wakati Jesus Christ ni Lord and master of Spiritual Realm
Hizi elimu kwa mbali kama zina vitu zinaendana kihistoria na ni elimu pana!
 
Hiki unachosema hapa kinahusiana na zile story pendwa za Anunaki? au kuna utofauti ktk haya mambo?
Pia Annunak walikua spiritual being na Immortal sababu waliweza kutumia nguvu za kiroho kuamsha miili yao na kufanya miujiza hiyo ni power ambayo viumbe wote yaani Annunak,Humanoid na reptilian wanayo ila inahitaji code kuatach power na kuamsha nguvu zilizopo ndani yetu ili kufikia high level of Spiritual codes,
Katika historia ya Mwanadamu ni Yesu tu iliyefikia level ya juu mno kiasi kwamba akakirimiwa Uungu kamili yaani yeye na Uungu vilishikana kua kitu kimoja kiasi kwamba huwezi mtenganisha Mungu
(Father of all au the ultimate power iliyofanyiza Ulimwengu na yeye)
Kumbuka sisi ni Spirit tulivaa miili na kuexist katika Dunia katika maumbo pia Annunak nao walivaa miili,pia kuna Chitauli na viumbe wengi katika Ulimwengu wanaexist katika miili ila source yetu ni spirit yaani energy kuu,sisi ni kama mianga katika Ulimwengu wa Roho hatuna Mwanzo wala mwisho yaani ni immortal milele!

Hii ni elimu nyingine tena ya zaidi na inahitaji darasa!
 
Dah ukipata muda njoo na hii mada ili nijifunze kitu
 
Sasa bro hadi kuchepuka napo unakufungamisha na haya mafuriko na hizo land slides.?
 
Hizi mvua mbona zilishwahi kunyesha? Zimekuja tena baada ya miaka zaidi ya 20...acha dunia ipumue itapike uchafu wote..milima ipumue...dunia inajibalance yenyewe...sasa ndo tuombe ktk huko kujibalance kwake na ww usijebalansiwa...kama vile kubebwa na maji au kupelekwa na uji wa mlima unaotapika....
 
Tusibishane na Muumba. Tuache UOVU, tuwasikize wajumbe wa AGANO Ili tupone.
 
Brazil watu zaidi ya 100 wamefariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi.

Hali ni Tete, tuendelee kutubu na kumwomba Mungu atuokoe na majanga hayo.

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…